Habari wana JF, matuamaini yangu ni wazima.
Kichwa kama kinavojieleza kwa ufupi, Nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali isiyohitaji vyeti ili kuendesha maisha, Japo elimu yangu ni kidato cha sita(6).
Napatikana Iringa mjini, kwa yoyote mwenye connection au uhitaji wa mtu wa kufanya nae kazi...
Note9 Ipo Sokoni.
Ram 8Gb
Rom 128Gb
Condition bado mpya imetumika miez miwil mpaka sas, Na box lake bado lipo
Location; Iringa Town
Bei ni 550k
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kuna netflix naitumia mim malipo ni kidogo sana, Unachotakiwa ni bundle lako tu kuwatch au kudownload. Haina mambo mengi katika kujiunga
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.