Recent content by MONTESQUIEU

  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    The winner takes all!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunduma hali sio nzuri, kuna sintofahamu mpaka sasa!

    Hawa nao tuwahamishie zambia. Si tumemaliza uchaguzi huku bara?
  3. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Dr. Pombe Magufuli, Rais mteule wa Tanzania awamu ya 5

    Nyote ni washindi, mmepambana diff ya 2.2 si mbaya sana nyote mnapendwa na wa tz. Twende kazi!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hatimaye ile Taasisi inayohitaji kuombewa sana imeanza safari yake kuanguka rasmi leo

    ndio maana NEC WAMESITISHA KUTOA, WATOE TU!
  5. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba: CCM imeshashinda majimbo 176 mpaka sasa

    tcra cyber iko upande mmoja tu?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa azungumza na vyombo vya habari, Ailaumu NEC kutoa matokeo yanayompendelea Magufuli

    Kwani kajumlisha na yeye? Kwli mwaka huu noma! Nimeipenda nec uawazi na ukweli!
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Matukio na Matokeo toka maeneo mbalimbali ya Tanzania - Uchaguzi Mkuu 2015

    jamani si mawakala wanamajibu nawameyafikisha kwa wahusika tusubiri tu watatangaza. Tume ya safari hii nadhani ni ya uwazi. Majibu yalibandikwa vituoni so watatangaza tu!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Kwa nini wahisi hivyo wakati bado hawajapiga?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

    Kama anagombea na myika ni shidaa!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Arusha: Watu 40 Matatani kwa Kumzomea Mgombea wa CCM Dk. Pombe Magufuli

    Wakizomewwa ukawa wanitw wazalendo na hawakamatwi, wakizomewa ccm kosa hii ikoje? LABDA MNIAMBIE WAMEKAMATWA KWA KUPIGA MAWE. HAPO NAAUNGANA NA POLISI KAMA WAMEPIGA MAWE KWELI!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wazalendoCHADEMA wamkataa Lowassa

    Ni shida mwaka huu kuna ccm wanaosema watamchagua lowasa kwa katiba yao kukiukwa so ngoma draw!
  12. M

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

    Kwani tayari ameshajitangazia uras! Hawa ndio wanao taka kutuletea fujo!
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

    Mtzamo wangu!.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Lowassa siyo sawa, inahamasisha vurugu

    Hizo ndio kauli za wapinzani siku zote. Tume haiko huru wafanyeje?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Magufuli jimbo la Vunjo: Lyatonga Mrema aungana na CCM kwenye kampeni

    Angalau nao wamepata chama cha kuungana nao
Back
Top Bottom