As long as sijawahi kuskia scandal ya kingono au kimahusiano nje ya ndoa yake kuhusu Hayati Mh. Lowassa basi he got a super clean sheet from my side[emoji8] maana huo ndo upumbavu namba moja wa Wanaume wengi wa karne hii except my father of course and my husbae[emoji847]
Lakini kwa nn usimwambie yeye mwenyewe! ajue kabisa anachofanya sio kizuri sijui kama yuko humu JF...vaa bomu Mfuate mkalishe chini mwambie A to Z ulikopata taarifa usifiche mwambie aache na umuombe sana MUNGU kusema huku hajutasaidia kitu...
By the way matako anachukuaje? Niambie basssi
Mwenye masculine energy ya kutosha[emoji3059]...yaani yule ambaye atanituliza nyumbani anitoe kwenye stress za kushindana na wanaume kazini na kwenye biashara...aniweke ndani nimtunzie nyumba yake nimzalie vitoto vyake nimpikie chakula kizuri asubuhi mchana na jioni kila siku nimpokee akitoka...
Mwanaume mkubwaa amekaa huko akakosa cha kuongea akaamua kuja kuongea pumba kuhusu tupu za mwanamke..hii sehemu inabidi iheshimiwe inaleta maisha duniani.. inawatuliza wanaume marijali stress na kuwazalishia dopamine hormone ya furaha...inafanya ndoa zinakuwa na umoja...such a powerful...
Hellow wana JF... dada yenu nimekuja kwenu ndugu zangu... natafuta chumba chenye choo ndani (self contained) urgently
Maeneo iwe Kigamboni yoote.. ikiwa barabara ya Kisiwani au mji mwema mpaka Ferry itapendeza saana, karibu na barabara muhimu kuwe na maji+ umeme na kiwe kwenye hali nzuri. Pesa...
Akili zao zina uwezo mkubwa na kama unataka kuwakeep busy kuwatuliza wape vitu vigumu saanaaa...maana hivi vya kawaida wanavimaliza mapema wanavielewa wanashindwa kutumia akili zao zote hence wanaboeka ndo maana wanakuwa watukutu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.