Recent content by monjozee

  1. monjozee

    Tarehe kama ya leo ndiyo aliuawa Alphonce Mawazo Chemu

    Hivi leo ni tarehe ngapi?
  2. monjozee

    Mtulia atikisa Kata ya Kijitonyama

    Hivi alikuwa anahutubia mkutano wa chama au wananchi? Anaefahamu atoe ufafanuzi kwa msaada wa Picha.
  3. monjozee

    Yanayojiri katika kikao cha Kamati Kuu Chadema

    Hicho kikao kinakaliwa wapi wakati jana kimeahirishwa kupisha mazishi ya mama yake Kibatala hii leo, na badala yake kinafanyika kesho.
  4. monjozee

    Mbowe ataendelea kuwa mwenyekiti wa CHADEMA mpaka tutakapoona vinginevyo

    Ubarikiwe,tena CCM wajue hatupangiwi.
  5. monjozee

    Siasa mufilisi za Mbowe za kuchochea vurugu atabakia mwenyewe barabarani na FFU

    Hatimaye ukapokea ujira wako kwa bandiko la kumzodoa Mbowe. Kheri ya sikukuu ya kuelekea siku ya Mapinduzi
  6. monjozee

    Tumuogope Mungu japo kidogo, amani ni Tunda la haki, lile tangazo la siasa mpaka mwaka 2020 limeishia wapi?

    Kuna watu ambao siku ya mwisho wakati Mungu akihukumu watu wake,wao wanaweza kuwa kuni za kuchochea wenzao kule jehanam kwa sababu ya unafiki wao hapa Duniani.Mfano ni Mzee mwenyewe. (Sihukumu)
  7. monjozee

    Naomba kufahamishwa juu ya posho za madiwani kwa sasa

    Wanabodi salaam!! Kutokana na hili wimbi la madiwani kuhamahama,nimefikiria hasa juu ya mishahara/posho zao kwa sasa ikiwa zinachangia. Naomba anaefahamu malipo ya Madiwani katika awamu ya nne na malipo yao kwa sasa ndani ya awamu ya tano. Asanteni.
  8. monjozee

    Ray C amshauri rais atunge sheria inayozuia vijana kuanzisha mahusiano kabla ya ndoa

    Ray C Atoa Kali Ya Mwaka.....Amuomba Rais Magufuli Awabane Wanaume Wanaowachezea Bila Kuwaoa. Msanii Ray C amefunguka na kumuomba Rais Magufuli asaidie kupatikana sheria ambayo itaweza kusaidia wanawake na mabinti wa Tanzania kuolewa kwa haraka kwani anadai bila wanaume kulazimishwa...
  9. monjozee

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Mbona wakati wa kusifia huwa hamuandiki makala hizi? Pengo anaposifia Magu sizioni hizi mnazoita "nyuzi" lakini akikosolewa utawaona "wachambuzi uchwara" kutoka Lumumba.
  10. monjozee

    Tunajifunza nini kutoka vyama vya upinzani kuanzia 2015-2017

    Na hadithi yako ikaishia hapo
  11. monjozee

    Jimbo la Tundu Lissu lina hali mbaya, hakuna maendeleo yoyote

    Sababu ya yeye kutokuwepo Bungeni inajitosheleza na inaeleweka.Hivyo kipengele hicho not applicable
Back
Top Bottom