Recent content by Moniel

  1. Moniel

    Huduma ya Google Play Store inarudi kwenye simu za Huawei

    Mkuu p30 haisumbui ishu za ios na installation zote za google?
  2. Moniel

    Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

    Kama ulifanya mtihani Mtwara basi hutoboi, sijui walisahisha vipi lile pepa
  3. Moniel

    Video ya binti akivuta sigara

    Umecopy sehem
  4. Moniel

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Chuo cha TIA Mtwara kipo maeneo gani? Nauli hadi mjini bei gan? Kuna lodge nzuri atleast 15? Naombeni nielekezwe
  5. Moniel

    Hawa ndo watanzania watatu wenye akili sana ila Serikali haijawatumia vizuri au tunasema wapo 'under utilised'

    Mimi aliniblock kuna siku ameposti record ya timu yake pendwa ya simba, bwanaeeee si nikampinga hapohapo nikachezea block! Naona jamaa ni kama huogopa kujenga hoja anaudhaifu huo
  6. Moniel

    Karma ni ukweli na karma hulipa kwa haki jifunze kuishi vizuri na watu

    Hivi umewahi kusikia wazungu wanaamini mambo ya LAANA kama huku Africa?
  7. Moniel

    Natafuta suruali zenye Mtindo huu

    Habarini wakuu! Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
Back
Top Bottom