Recent content by mongoya

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mothers wengi wanaakili na mchango mkubwa kwa familia/ndugu zao kuliko wanawake walio kwenye Ndoa.

    Hapana...hapa tunawasifia na kutambua uwezo wao
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Single Mothers wengi wanaakili na mchango mkubwa kwa familia/ndugu zao kuliko wanawake walio kwenye Ndoa.

    Wakuu. Utafiti kidogo niliofanya nimegundua kuwa, mwanamke akishaolewa msaada wake kwenye familia alikozaliwa unapungua ama unakwisha kabisaaa hata kama atakuwa ana uwezo. Hali hiyo ni tofauti kwa Single Mothers wengi wao wanasaidia ndugu zao kwa kiwango kikubwa sana kulinganisha na baada ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

    Hapa dawa ni kuanzisha viwanda vya kukamua juice ya mahindi
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

    Mkuu kuwa makini kuna dawa feki unaweka dawa lakini wadudu bado wanaendelea kupekecha tu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

    Mkuu bei ya elfu 75 inapatikana wapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wale Wakulima/Wafanyabiashara tuliopata hasara kutokana na biashara ya Mahindi tukutane hapa

    Habari Wakuu, Nianze moja kwa moja kuzungumzia kuhusiana na mada tajwa, mimi ni mkulima na pia nafanya biashara ya kununua mahindi kisha naweka store kwa muda nikisubiri bei iongezeke... Miaka michache iliyopita hadi kufikia mwaka jana 2017 kipindi kama hiki cha mwezi januari, bei huwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    naomba kujulishwa jinsi ya kuangalia mpira live kupitia simu/internet....
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wale wanunuzi na wauzaji wa Nyumba/Viwanja tukutane hapa.

    Weka maelezo yafutayo: 1.Mahali nyumba ilipo kwa maana ya mtaa wilaya 2. Ukubwa wa nyumba na eneo la kiwanja. 3. Huduma muhimu zilizopo i.e maji na umeme 4.Documents zinazohalalisha umiliki wa nyuma. 5.BEI YA NYUMBA..iendana na hali ya uchumi 6...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja, vyumba, nyumba za kupanga na maofisi, magodowns, mashamba, nicheki nikutafutie popote Tanzania

    nitafutie nyumba/ kiwanja ya kununua eneo la kimara hadi kibamba bajeti 23M kwa nyimba.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Siri kubwa kuhusu Forex hakuna Mentor anaetaka uijue

    Mkuu nahitaji hivyo vitabu kama unayo tafadhali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafua Shamba Kwa hekari kati ya 400,000-500,000/= Isizidi hapo.

    Mimi nahitaji shamba maeneo ya kibaha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    huwa nawakumbukuka sana matic na costa
Back
Top Bottom