Recent content by monga farm

  1. monga farm

    JamiiForums Tanzania Wanawake kupendelea kwenda gym

    Dah!umenikumbusha mbali nilikuwa naenda Ile gym coz ipo karibu na home mwaka 2014-2015
  2. monga farm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Only human after all don't put a blame on me!!!wimbo huwa naupenda sana.
  3. monga farm

    JamiiForums Tanzania Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

    Hahaha maharage ndo mboga kuu ya wakinga,vp umekua sasa tuambie ulaji wako upoje sasa unajitegemea??
  4. monga farm

    JamiiForums Tanzania Wakinga wameamua kupambana, maneno yameanza kama ilivyo desturi ya Waswahili

    Umemaliza kila kitu,mimi ni mhanji karibu na wamkinga kabila dogo sana huwa tunasema ni wakinga pia, Sina pesa sababu Sina mambo ya kando ila najua kwa nguvu zangu na Mungu wangu ipo siku nitatoboa pia,mambo yanaenda yanabadilika wengine wazazi wetu walikataa pesa za hivyo hivyo hatukurithishwa...
  5. monga farm

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara Alex Msama akamatwa kwa tuhuma za Utapeli wa Viwanja vya Tsh. Milioni 800

    Umenikumbusha mbali 2016-2018 sana kabla ya yeye kupanga pale kulikuwa na Eaters Point best Pizza 🍕 ila ndo walifunga ndo akapanga yeye,alikuwa anakuja pale kama mteja ila mbwembwe kibao
  6. monga farm

    JamiiForums Tanzania Mbinu watumiazo Mafundi Ujenzi kuibia mabosi zao

    Fundi wengi ni janja janja sana fundi alitafutwa wa mkoa mwingine ili kusiwe na mambo ya kufiwa/mtoto anaumwa/kuna msiba na blabla za uongo kumbe yupo site nyingine,kwenye mahesabu ya kupaua aliingeza Bati 22 na kumpa jirani ambae ndo tulikuwa tunamtumia kuweka vitu vyetu na tulimuamini jirani...
  7. monga farm

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wafanyabiashara kukaa na simu zinazotumika kufanya miamala mbali na eneo la biashara inakera

    Kwa kweli inakera sana ila nadhan sababu ni kuogopa kuibiwa wengi wa vijana wanaowekwa madukani ni kutoka njee ya mji hivyo janja janja wakija ni rahisi kuibiwa kuna mteja wangu wa mayai aliibiwa 1.46ml dukani aliweka kijana na elimu ya hapa na pale alishampa,
  8. monga farm

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Inanigharimu kurudi kula chakula cha nyumbani ila sijutii, Migahawa kutokaguliwa wanachopika ni hatari kiafya usipokuwa makini

    Ndo nimefanya kwa miezi miwili yaan huwez amini mwili unajisikia fresh na huli ovyo ovyo huwa nabeba smoothie basi.Nimepungua 12kg bila mazoezi wala nini
  9. monga farm

    JamiiForums Tanzania Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    Hahahaaaa,binti 12yrs ila anayeoa 40 yrs and above,kama mnataka waachieni vibinti violewe na vijana wenzao nyie wazee muoe wajane
  10. monga farm

    JamiiForums Tanzania Mariam mama yake Yesu alizaa akiwa na miaka 12 kwa baraka zake Jehova / Mungu, kipi cha ajabu kwa wakristo kukataza mabinti wa miaka 15 wasiolewe?

    Shame on you,kwani zaman hamna walio kuwa wanajiuza?kama una mtoto wa kike akifika Miaka 12 muozeshe fasta kama huna subiri ukipata ndo upange ndoa yake,Wacha wengine tujitoe ufahamu kwa kuendelea kulea watoto wetu hata kama ataruka ukuta mara elfu.
  11. monga farm

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu alirudi kwa ex wake siku ya ndoa yangu

    Nimetumia nguvu nyingi kusoma na kuelewa
  12. monga farm

    JamiiForums Tanzania Gesi Asilia(CNG) Gari inatembea Km 290 kwa Tsh. 30,000 tu

    Usijaribu kwenye magari ya chini ni shida sana japo faida ni nyingi kuliko hasara lakn mimi niliuza langu la gesi sababu system ya umeme ilikuwa inasumbua sana halafu kupanda mlima na nguvu ya gari ilishuka ,buti space yote Ilijaa mtungi
Back
Top Bottom