Wanawake kupendelea kwenda gym

Wanawake kupendelea kwenda gym

Kuna cku bana tupo gym kaja mdada m1 na kispika chake ananukia vzuri, kuingia mule gym akakaa kwenye kibench anachezea cm zaid ya nusu saa then akashuka chin akachkua gar ake akasepa, skumwelewa kwakwel
😀😀😀😀 hicho ambacho hujaelewa ndiyo ulichoelewa Jombaaa
 
Countrywide pitia hapa wewe cha ubishi unayenikataza nisiende gym 😂😂😂
Sweet mangi kashapona sasa hivi yuko normal. Mungu ni upendo na mkubwa aliweka kitu kusahau. Huoni Masanja sasa hivi karejea hali ya kawaida. Usifanye mchezo na KUGONGEWA wewe
 
Mkuu Mbona Ni Jambo La Kawaida Mtasababisha Sasa Tuwafungie Ndani Tu Na Hapo Pia Mtasema.
 
Sweet mangi kashapona sasa hivi yuko normal. Mungu ni upendo na mkubwa aliweka kitu kusahau. Huoni Masanja sasa hivi karejea hali ya kawaida. Usifanye mchezo na KUGONGEWA wewe
Unaongea vitu gani?? Bangi sio nzuri kwa afya yako
 
ukipigiwa nacma gym master unaweza ukajikuta unaona wataleban wako sahihi na mifumo yao
 
Kumekuwa na ongezeko la wanawake kwenda mazoezini(gym) bila hata ya waume zao(labda kutokana na u busy[emoji848][emoji119])Inasemekana huko mazoezini wanafaidi sana. kuimarisha afya[emoji12]Hongereni sana wanaume kwa kuona umuhimu wa mazoezi kwa wake zenu
Kuna sisi ambao tunaanza kuimarisha afya tukiwa nyumbani halafu tukishanoga sasa😂😂😂ndio tunaenda zetu gym ku maintain.
 
Ukiamua hata nyumbani mazoezi unafanya sio lazima gym
 
Gym.
Wanawake gym ni way back ndugu yangu.
Hata maofisini wayback zipo session za gym.
Wanawake gym ni kawaidaaa sana. Nina miaka 20 naona wanawake wengi gym.
Mfano mdogo wakazi wa kimara pale baruti. Baha mamama sheli wayback gym ile ina jaza wanawake na mabinti. More than 20 yrs ya ile gym.
Dah!umenikumbusha mbali nilikuwa naenda Ile gym coz ipo karibu na home mwaka 2014-2015
 
Back
Top Bottom