Recent content by monakule

  1. monakule

    Wizi Mpya kwenye mabasi ya Geita

    Wahusika naomba wafanyie kazi hii, Kuna basi zinazopeleka abiria vijijini kutoka Geita hasa hii inayojulikn Bibi family, inafanya safari Geita Nyehunge kupitia Nzera Kuna mtindo wa abiria kulipishwa mizigo alionao bila utaratibi Wizi uko hivi, abiria anapanda na mzigo na analipa nauli yake...
  2. monakule

    KERO Bodi ya wahandisi wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi

    Bodi ya wahandisi ina matatizo makubwa, wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi nadhani kwa sababu zao binafsi, sasa kama mhandisi tayari umeshaandikishwa ukaandika ripoti na bodi ikakaa na kukubaliwa na mwisho ukaapishwa, ni nini kinachelewesha kuchapisha vyeti? Kwani kuna mchakato wowote...
  3. monakule

    DOKEZO Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi Sengerema achunguzwe

    Kwa wahusika, Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi wilaya ya Sengerema hajatoa nakala za hukumu ya kesi nyingi na leo ni siku ya 36 baada ya hukumu kutolewa, na ikumbukwe kuwa muda wa kukata rufani ni ndani ya siku 45 tu. Hadi sasa mwenyekiti huyo hajulikani alipo na karani wake amepokea hela bila...
  4. monakule

    Mipangomiji Arusha wamelala

    Kitengo cha mipangomiji Arusha amelala wanasubiri nini kupanga mji unaokua kwa kasi kuliko inavyotarajiwa, unakuta mji unakua hauna barabara za mtaa, maeneo ya wazi kwa ajili ya viwanja vya michezo na masoko, hii ni hasa kuanzia kwa morombo hadi mlima ccm, nenda hadi mkono hadi nado, hakuna...
  5. monakule

    Natafuta kazi ya kujitolea nina taaluma ya electrical installation and services

    Habarini za kazi humu ndani, mimi Engineer na ni mwajiriwa, nahitaji kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote inayojihusisha na Electrical installation and services katika tenda kubwa kidogo (commercial building and industrial sector) lengo ni kupata uzoefu
  6. monakule

    Chief inspector Osha Job

    The united republic of tanzania President’s office Public service recruitment secretariat Ref. No. Ea.7/96/01/124 23 St may, 2017 Vacancy announcement. The secretary, president’s office, public service recruitment secretariat, on Behalf of the prime minister’s office, labour, youth...
  7. monakule

    Miluzi mingi

    MILUZI MINGI Nawaza nianze lipi, Kesho niwe wa maana. Nimekazwa kwa mshipi, Na kaburi naliona. Thamani yangu ni ngapi, Nihungame Maulana. Miluzi sasa ni mingi, Napotea mawindoni. Nawaza hadi magumu, Kuyasema nachelea. Liwe moja baragumu, Ramani nitakosea. Najua mwisho mgumu, Naweza pia potea...
  8. monakule

    CCM Wateua Makatibu Wakuu wa Mikoa na Wilaya; Kinana hajarudi. Makonda atajwa...

    Unajua sifa za kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya? Du Tanzania tuna safari ndefu
  9. monakule

    Msaada jamani

    punyeto haiwezi sababisa azoopermia hata kidogo soma vizuri notisi zako, kinachosababisha ni aidha kuziba (blockage) au kuharibika (distruction) kwa mrija wa manii (sperm duct) na kingine ni sleeping of testerone hormone. punyeto hupunguza nguvu za kiume (penis strengh) siyo kushusha uwezo wa...
  10. monakule

    Msaada jamani

    kuna kipimo kinaitwa "semens analysis" ukienda hospital wanajua, yaani unapeleka semens zako halafu wanafanya analysis
  11. monakule

    Msaada jamani

    Samahani kwa usumbufu ninahitaji daktari wa wanaume(ororlogist maana nimeonekana na zero sperm ccount niko Arusha
  12. monakule

    Hatimaye Prof: Wole Soyinka atimizaahadi yake.

    Anachokifanya siyo kitu cha kusifiwa hata kidogo, maana hayo ni matunda ya kujenga chuki dhidi ya Rais mteule Trump na atasababisha Waafrica wote tuonekane mazuzu, Je amefikisha ujumbe gani wa maana kwa watu? au ndo tunasema msimamo wa prof. wa kiafrika.
  13. monakule

    Endapo mabadiliko ya Bodi ya Mikopo yatapitishwa, hivi ndivyo itakavyokuwa

    Nashidwa nianzie wapi kusema maana kila kona ni maumivu
  14. monakule

    Sengerema Hospitali kwanini mnafanya hivi kwa wagonjwa?

    Nendeni mkafanye uchunguzi maana ni mara mbili imenitokea siku ya kwanza nilompeleka mama yangu wakanitoroka leo nimempeleka shemeji yangu the same situation unafiki unatoka wapi hapo
Back
Top Bottom