Natafuta kazi ya kujitolea nina taaluma ya electrical installation and services

monakule

Member
Sep 29, 2012
85
21
Habarini za kazi humu ndani, mimi Engineer na ni mwajiriwa, nahitaji kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote inayojihusisha na Electrical installation and services katika tenda kubwa kidogo (commercial building and industrial sector) lengo ni kupata uzoefu
 
Duuh! Waajiri siyo wajinga kwa kiasi hicho. Ridhika na ulichonacho mkuu maana "Ni Kheri Tisa Kuliko Kumi Nenda Rudi"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini za kazi humu ndani, mimi Engineer na ni mwajiriwa, nahitaji kazi ya kujitolea kwenye kampuni yoyote inayojihusisha na Electrical installation and services katika tenda kubwa kidogo (commercial building and industrial sector) lengo ni kupata uzoefu

Ufundi ni mpana sana.....kila la kheri mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom