monakule
Member
- Sep 29, 2012
- 86
- 22
Kuna mchezo mcha unaendelea hapo Sengerema Hospital. Mtu analipa gharama za huduma anaingia kwa daktari then and anaambiwa akachukue kipimo laboratory akirudi kwa daktari hamkuti kashaondoka nyumbani.
Ukifatilia kwa wahusika wanakujibu njoo kesho au wanakupa tarehe ya kurudi. Je hii ina maana gani? Watawala mnalijua hili?
Ukifatilia kwa wahusika wanakujibu njoo kesho au wanakupa tarehe ya kurudi. Je hii ina maana gani? Watawala mnalijua hili?