Awe kwenye fulish age awe anafanya vitu vya ovyo basi fanya hivi nk ushauri wangu
1. Tumia njia ya kumuombea maana katika age kama hiyo shetani anatumia mwanya wa kumshambulia kwa mambo mengi.
2. Wakati unamuombea uwe unazungumza naye sana mfanye rafiki usilazimishe haraka haraka hapana...
Huyu balla bado hatujamuona uwanjani tumeuziwa tuu clips za youtube sisi mashabiki mimi sijamuelewa kama ndo anafit moja kwa moja au ndo wa kumpa muda huku tukipoteza point?
Aucho asipocheza huwa tunapata sana shida, aongezewe mmoja aucho tukimsoma huyu bala conte
Aisee sawa watu wanaoweza kufikiri na kuleta suluhisho la matatizo ije tu tuone itakavyofanya kazi.
Wahandisi wa Kitanzania tuna nini sie cha kuondoa matatizo kwetu?
Mimi binafsi mwananchi ila sasa nashauri Aucho asiondoke huyu bado simwelewi angekuwa sawa hao waarabu wasingemuachia kumtoa mtu aliyefiti kwenye mfumo na kumuingiza mtu anayejitafuta kuingia kwenye mfumo ni kamari mbaya kwa kweli
Wakuu habari natumai wazima wa afya.
Ningependa kuuliza hivi gharama ya kusafirisha mzigo kwa ndege kutoka nje ya nchi huwa ni kiasi gani?
Asia, Marekani nk
Asateni. Natanguliza shukrani.
Wakuu habari natumaini wazima
Ninapenda kuuliza kwa wale wachomaji wa kuku au ambao wana maarifa kidogo kuhusu uchomaji wa kuu.
1. Ili kuchoma nyama ya kuku iwe tamu inatakiwa kuchomwaje?
2.Kuna utofauti wowote wa kuchoma kuku hawa wa broiler na kienyeji?
3. Maandalizi kutoka kumchinja kuku...
Nahukuru kwa majibu mazuri mkuu,
2.. ukiwasiliana na watu wa clearing and forwarding wanaweza wakakufanyia full estimates za total cost japo pia kwenye website ya TRA kuna calculator ya kupiga hesabu ya kodi japo baadhi ya gharama za bandarin hazijaainishwa ila inaweza kukupa mwongozo
Hivi...
Wakuu habari ningependa kufahamu uzoefu kidogo juu ya uagizaji magari used kWA kutumia mtandao wa be foward.
1. Huwa uinachukua mda gani toka ulipoagiza gari na mpaka unalipata?
2. Unaweza kujua mpaka kodi ya TRA+ gharama za TPA kabla ya kuwalipa pesa ya gari mtandaoni?
3. Kuna usumbufu gani...
Wakuu habari napenda kuuliza anaefahamu kuhusu biashara ya kukoboa na kuuza mpunga maeneo ya Dodoma mjini na hata pembezoni mwa jiji.
Ningependa kufahamu
1. Upatikanaji wa mpunga kwa bei rahisi na mzuri huwa hasa maeneo gani?
2. usafirishaji wake ukoje na garama yake ina range kiasi gani?
3...
hahaah umegusa penyewe hebu angalia ukiwa una hela hata kama una vyanzo visivyoeleweka watakupa hata uzee wa kanisa ilimradi tuu kuna kitu wanataka sio kaskazini tuu karibia sharika nyingi za kwetu za KKKT hata kama huko kichwani hakuna kitu kuna sodastick kabisa pumba lakini maadam una shekeli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.