Recent content by MombaDier

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeongeza timu ya kushangilia ambayo ni Real Madrid ili nifurahie makombe

    Rudi nyumbani mkuu tunatambua kuwa haikuwa akili yako nakumbuka niliambiwa kuwa ulikunywa ulanzi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Arsenal ana kikosi cha kumfunga Real Madrid leo?

    Halaaaaaah!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

    Halaaaaaaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania No Reforms No Election yaingia Kanda ya Pwani, moto ule ule wa Kanda zilizopita kuendelea kuunguza

    Tarehe 23 nitakuwepo Ubungo #tuombeane_uzima
  5. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Upigaji Kura kwa njia ya makaratasi umepitwa na wakati kwa sasa Tanzania: Mbadala wake nini?

    Umejitahidi mno kufunguka na umetufungua vile vinavyotakiwa lakini niwajuavyo mimi "Chama Cha Mapinduzi- Ccm namba one". Ulichokiongea ni ideal kufanyika nchini Tanzania nao watakuja na kauli yao " No makaratasi, no elekisheni" Wale watu nguvu yao kubwa ya ushindi ni wizi wa kura basi hawana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga tukaishangilie Al Masry

    Namimi naahidi nitakuwepo kuwashangilia ndugu zetu katika mpira Al-Masry naahidi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Asante mkuu kwa burudani Vipi tuutarajie lini tena muendelezo wake
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watu wa kaskazini mwa Afrika wana ubinafsi sanaa acha niwaambie ndugu zangu

    Nafikiri utakuwa umepoteza funguo nenda duka la dawa wakakupatie Metronidazole 400mg ndugu yangu Metronidazole 400mg usije ukachafua hali ya hewa. 1) Kaskazini wanazo kanuni na misimamo thabiti ambayo ina msaada mkubwa moja wapo ni kuwapa nafasi wazawa hivyo hata kanuni zao zinavutaka kusajili...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    😆😆😆 aah basi wameisha hii siiachi hii pale Lugalo na ndugu zao Twalipo patakua kama maabara au duka la madawa hivyo wanizoee🤣🤣🤣
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Duuh siyo poa
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Siyo mwanako tu hata wewe usiende
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Duuh Mzalendo umeiva ila umekatisha kwenye utamu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Nimeshafika mkuu ngoja nijipakulie minyama kabla sijaenda kwenye ubwabwa.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Ipi sasa ya Mbena au Mwachipa mHAMAS-shaji
  15. M

    JamiiForums Tanzania Maisha ya depo

    Oya we faza pekupeku alfagems ipi hiyo
Back
Top Bottom