No Reforms No Election yaingia Kanda ya Pwani, moto ule ule wa Kanda zilizopita kuendelea kuunguza

Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.

Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu

Kweli mkuu pwani wanakula sana miguu ya kuku ,na utumbo na juice ya matikitiki
 
Ratiba MIKUTANO YA HADHARA DAR ES SALAAM.

16/04/2025 KIBAMBA
SEGEREA

17/04/2025-
1. TEMEKE
2. KINONDONI

19/04/2025-
1. UKONGA
2. KAWE.

22/04/2025-
1. KIGAMBONI
2. ILALA

23/04/2025
1. MBAGALA
2. UBUNGO
Shukrani sana
 
Screenshot_2025-04-15-20-35-38-1.png
 
Dar es Salaam na Pwani inaenda kuchemka na kuwa moto wa kukiunguza chama dola kongwe tawala.

Masantula "Mtoto wa mjini"​

Dar es Salaam yachemka kama bahari - Wazee waliimba kutabiri 2025. Hii yote Ni No Reforms tucheze wote No Election ...

Masantula " Mtoto wa Mjini, hii Ngoma No Reforms No Election Dar Yachemka kama bahari .."

View: https://m.youtube.com/watch?v=gwlhjvzJamE

Maua 👉💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐
 
Nashauri Mnyika aitishe kikao cha kamati kuu, tumruishe Mwenyekiti Mbowe
Sidhani kuwa Mbowe mwenyewe atakubari kupokea aibu hiyo. Hata sijui ataanzia wapi kudai kuiongoza tena CHADEMA; ambayo haitakuwa na tofauti yoyote na CUF ya Lipumba au NCCR na takataka nyinginezo zinazojitangaza kuwa vyama vya siasa, siyo vyama vya upinzani.
 
Taarifa ndio kama mlivyosikia, kwamba ule moto wenye Neema wa No Reforms No Election sasa unaingia Kanda ya Pwani.

Mungu hakuumba watu wa Dar ili wale Mihogo, utumbo na Miguu ya kuku, Hiyo ni kazi ya Shetani, kuchagua chawa badala ya wananchi si kazi ya Mungu

Ni lini hawa CCM na vibaka wenzao watajuwa kuwa CHADEMA siyo mtu/kiongozi mmoja tena?
Ukimwondoa mmoja, wengine wanaendeleza kazi ileile, tena kwa moto zaidi.
 
Ni lini hawa CCM na vibaka wenzao watajuwa kuwa CHADEMA siyo mtu/kiongozi mmoja tena?
Ukimwondoa mmoja, wengine wanaendeleza kazi ileile, tena kwa moto zaidi.
Siku tukiwang'oa madarakani ndio wataelewa kuwa Wasira aliwapiga fix

Screenshot_2025-02-12-15-29-22-1.png
 
Back
Top Bottom