Recent content by momaka

  1. M

    Lebanon ni nchi ya Kikristo; inapigwa na Israel halafu walokole mnashangilia

    Hiyo asilimia nne ndio iwabadilishe kushabikia Lebanon!?
  2. M

    Tajiri nimeamka, masikini bado mmelala

    Tuache na umasikini wetu wenyewe tumeridhika! Watu wengine tukiwa matajiri tutawatesa wake zetu. Upendo huu wa kimasikini ndio usalama wetu.
  3. M

    Nahisi maumivu upande wa kushoto wa moyo, X Ray haioneshi kitu

    Huyo doctor ni specialist!? Kama sio unana na physician! Hizo sio dalili nzuri!
  4. M

    PreGE2025 Makonda: Dereva wangu alikuwa anafunga namba za RC DSM na kutapeli watu

    Hatua gani wanazichukua dhidi ya hao wasaidizi matapeli!? Kama umenyooka msaidizi hawezi fanya ujinga! Kuna kitu anacho take advantage kutoka kwako
  5. M

    Nashangaa mnaolalamika maisha magumu Tanzania

    Ni kweli, ukiwa mwizi,zulumati,tapeli,mla rushwa, muhujumu uchumi hela ipo nje nje!
  6. M

    Lissu anajitangaza kugombea uraisi kupitia Chadema kama nani , taratibu zikoje?

    Hujasikiliza hiyo clip unakimbilia kusema amejitangaza! Hii ni shida!
  7. M

    Maandalizi ya tamasha kubwa la kufanya ngono nchini Uingereza yameanza, wakazi walalamika

    Mwisho wa dunia umekaribia,shetani anajifungua wazi kwa wafuasi wake!
  8. M

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Wananchi wanapaswa na wana haki ya kuhoji kiongozi wao (especially) wa ngazi ya juu asipooneka kwenye majukumu yake ya kila siku.
  9. M

    Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

    Nyie ndio Raisi amewaongelea. Vijana hamhoji mambo ya msingi kuhusu nchi yenu hivi mtakuwa watu gani mkipewa nchi huko mbeleni!
  10. M

    Nimechukizwa na wananchi kushangilia vifo vya wanachama sita wa CCM kwenye ajali Njombe. Taifa limegawanyika, tusipuuze

    Si utamaduni wetu, lakini pengine ni nafasi ya kujitathmini mienendo yetu tunavyoishi katika jamii zetu. We must have gone wrong somewhere,lets take it as a caution.
  11. M

    Jumuiya Wanawake Vyama vya Siasa: Ndugai aombe radhi kwa kauli yake kuhusu mikopo

    Hii jumuiya ni ya nini? Kabla hata sijauliza kwa nini imesema hivyo inavyosema!
  12. M

    Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

    Healing process inaweza chukua muda. Muache kwanza, muda ni mponyaji mzuri.
  13. M

    Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

    Hujaelewa au hujasoma vizuri mada, kitendo chake cha kukaa kimya kwenye tukio kubwa kama lile inaleta ukakasi mkubwa. Na mleta mada amesema hapo mwanzo amiri jeshi mkuu ni mfariji kwa wanainchi wake. Tulitegemea statement yake ya faraja
  14. M

    Kama kwa zaidi ya miaka ishirini katiba ya CHADEMA imeruhusu ufisadi na udikteta, kwa nini hamtaki kuibadili ili muwe mfano?

    Tulitegemea uweke vifungu vya katiba ili tuende pamoja na sio kuanza kubishana kama watoto wa darasa la pili.
  15. M

    Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

    TCRA na vyombo husika vichukue hatua kali dhidi ya media na mhusika aliotoa matamshi yanayoweza kuleta uvunjifu wa amani
Back
Top Bottom