Wasafi TV, Yesu kawakosea nini? Kwanini mnamdhalilisha?

Mkuu wa mhimili fulani alisema "Yesu na mke wake", baadae akaomba awiwe radhi kwa matashi ya kukera na kukosea kwa wenye imani ya Yesu. Kwa huyu kwenye hii video,hakuna mdomo kuteleza!

Kabla ya kuhukumiwa, wapewe nafasi ya kuthibitisha pasi na shaka madai hayo, huyo anayeyasema na kituo kilichoona habari hiyo ina tija na ina mizania ya wazi kusambazwa.

Wakithibitisha pasi na shaka, waachwe kama walivyo. Wakifeli kufanya hivyo, basi RUNGI lishushwe kwao bila kutumia fikra na hali ya kibinadamu.
 
Hapo angetajwa mtume kungekuwa na maandamano, huyo mtangazaji wa wasafi anapotosha kuhusu Imani ya kikristo, kwanini asijikite na mambo mengine atuachie Imani yetu, otherwise huyu ni mchochezi ka wachochezi wengine
 
Wasafi TV kwenye King’amuzi changu nine-lock muda mrefu sana baada ya kuona haina maadili kwa mtoto.
Sikufanya makosa kuifungia kwa hayo mambo.

Wakati Mwingine shetan ana muandaa Mtu kutoa taarifa kufikisha ujumbe kupitia vipindi kama hivyo
 
Badala ya kutoa hoja unatoa uharo tu.
Kwani unadhani jamii haijui tabia zenu ya kwamba, '' kumtetea Allah ''
Wapi na wapi binadamu akamsaidia Mungu
Kwani mpaka kufungua hii thread na kulalamika pamoja na Ku comment kuilaumu wasafi huoni Una mtetea huyo yesu wenu kifupi wewe ndio Una harisha na kujamba jamba si muache ajitetee mwenyewe huyo yesu nyumbu wewe
 
Ni imani yake na ni jinsi yeye alivoelewa alichokisoma/kuambiwa mahali.

Hapo wenye makosa ni hao wasafi kuruhusu kipindi kama hicho kuruka ilhali ni matamshi yanayokashfu imani fulani. Ni kosa kwa hao wasafi kumhoji mtu amabe unaona fika hatumii hekma katika matamshi yake na wewe unaendelea kutikisa kichwa ukimuacha aendelee kubwabwaja.

Wasafi hawajakoma, walipewa adhabu ile nadhani hawajajirekebisha bado.
 
Niliiona hii kitu, sijapendezwa kabisa.

Afu jitu lenyewe sijui ni mchicha mwiba? Ni nini mwanaume anatembea anatikisa Kali.o?
Kwanza nasikia linatafuta tu attention kujitia limefanyia bdei kwa ndege kumbe hakuna lolote, ndege haikuruka kaishia tu kupigamo picha.
 
Back
Top Bottom