Recent content by molwe

  1. molwe

    JamiiForums Tanzania Tamisemi, Tunaomba wanafunzi warudi nyumbani likizo wasibaki shuleni mtaàla wa sasa unapima ufahamu siyo content based curriculum

    Hakika omenena vema... Jamanii tunaomba viongozi wa hii Wizara watusaidie!!!! Tunachojua siku za kusoma zimepangwa ...na siku za mapumziko ndio maana zimewekwaa!! Watoto wanahitaji kupumzika na kujifunza stadi nyingine za maisha nyumbani. Weekend, likizo zote watoto lazima waende shule na...
  2. molwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 24 ila mchumba wangu anataka nimsomeshe. Nifanyeje?

    Weweee!!! Nakuitaa... Mchumba hasomeshwiii...utayakumbuka maneno haya ukiwa na majuto makalii
  3. molwe

    JamiiForums Tanzania KERO Hizi kambi za Wanafunzi wa madarasa ya Mitihani zimekuwa kero kwa Wazazi na Walezi

    Makambi kama yameratibiwa vizuri si shida, kama Yana manufaa Kwa watoto. Cha kuzingatia.. ni Nani anaeishi na watoto humo kwenye makambi ili kuwa na uhakika WA usalama wao, je kuna maandalizi thabiti ya kukabiliana na majanga kama moto yakitokea.. Kwa kuwa maeneo mengi ya makambi sio maalum Kwa...
  4. molwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tafiti zinaonesha Wanawake wanaoomba msamaha waume zao huwa wanadumu ktk ndoa

    Jamanii Hivi humu mada ni kujadili wanawake tuu? Hembu tujadili mada za maendeleo ili miaka kadhaa ijayo tuhame kwenye hili kundi la kuitwa nchi zinazoendelea!!
  5. molwe

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mpunga Morogoro

    Dumila Morogoro
  6. molwe

    JamiiForums Tanzania Jamani nakutana na changamoto na kabila la Waha maofisini

    Hao sio tuu maofisini, hata makanisani wapo ni majungu kwenda mbele😂😂😂😂 Wazoee tuu, ukiona wamezidi wape makavu songa mbele!
  7. molwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watoto waliolelewa na single ni wabishi na wanatudharau sisi baba zao wa kambo.

    Na watoto waliolelewa single Baba pia wabaya zaidi na wake za Baba zao hawakai!! Tuwe tuna balance mambo!!! Tusiwe watu wa mfumo Dume!!
  8. molwe

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Kundi Kubwa la Vijana wanaolala Barabarani Sam Nujoma/Sinza Waangaliwe

    Hili ni bomu!! Hao watageuka kuwa wanakaba watu na wezi! Tunaomba wakamatwe wote! Sio sawa watu kulala mabarabarani
  9. molwe

    JamiiForums Tanzania Hii kitu imeniuma sana, nimebeba mifuko 70 ya Cement nimelipwa 1500

    Njoo tupige kazi shambani msomi wangu
  10. molwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke kama havai shanga siwezi kuwa na mahusiano nae, kabla ya yote nauliza kuhusu Shanga kama anazo

    Haaaahaaa!! Uwe unawanunuliaaa🤣🤣🤣🤣 Nyie ndio mnataka wanawake waliopendeza na hamjui nani kampa hiyo Hela ya kusuka Wala nguoo!!!
  11. molwe

    JamiiForums Tanzania Mtu kama huyu mnamsaidiaje?

    Huko vyuoni wanakaririshwa tuu, ili wajibu mitihani wafauru! Hawafundishwi uhalisia wa maisha na jinsi ya kutumia elimu ya kwenye makaratasi iwe practical. Mwambie tuu ukweli wa maisha achangamke!!
  12. molwe

    JamiiForums Tanzania Sasa hivi kuna pesa kama takataka, tangu tupate uhuru hakuna kipindi watu wanaogolea kwenye pesa kama sasa kipindi cha Samia

    Hizo pesa ziko kwa hao hao wanaozishikilia! kina ss huku chini hali ni mbaya kuliko jana! Sisi wakulima mazao yanaozea ndani!!:oops::oops::oops: Pembejeo za kilimo bei juu! Tunaomba mfungue masoko na sisi tufaidi hiyo keki! "Kuwa tajiri kati ya masikini wengi ni dhambi kubwa!"
  13. molwe

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu uchimbaji wa Visima

    Anaejua wachimbaji wanaopina kienyeji mm ndio nawahitaji!! Ni wa uhakika zaidi
  14. molwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wake zetu wakipata visafari humo njiani wanapitiwa sana; ni ukweli mchungu

    Khaaaa!! Hao wake zenu wanaliwa na Wanawake wenzao au??
  15. molwe

    JamiiForums Tanzania Nimepata msiba wa mwanangu wa pili, ana miaka 2

    Pole sana Mdau! Mungu awafariji wapendwa! Mliopo Morogoro mshiriki jamani.
Back
Top Bottom