Recent content by mollelian masai

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nina matatizo au ana matatizo? Sielewi

    pole ongea nae ;labda hajajua umuhimu wa mawasiliano yenu wawili
  2. M

    JamiiForums Tanzania Zijue aina nne (4) za michepuko

    naipenda jf ;raha tupu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka mtoto amevimbiwa sana

    kwanza mpeleke hospitali;asilishwe mpaka ashibe sana awe na kipimo;changanya papai na chungwa ale ;au maji ya uvuguvugu;inategemea umri wa mtoto;ukiweza pata alovera plus ya gnld inafaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Msaada natokwa sana jasho kwapani

    pole sana;tumia maji ya limao kujioshea kwa siku tatu au wiki moja hii ni kiboko ya deodorant;pia zingatia usafi ;usisahau kurudisha majibu hapa jf;
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wenye ndoa zilizovunjika tupeane uzoefu tafadhali

    pole ila naamini kuna sababu iliyopelekea hayo yote itafute ;jichunguze;badiika kama mwanzo;mthamin;muheshimu;zuia anapoonewa na ndugu zako;;mfanye ajione bora kwako ;fuata na ushauri wawanajf wamekushauri vzr sana ;lazima kuna ulichokosea ;LAZIMA TAFUTA
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tathimini: Majimbo na kata zinazoongozwa na CHADEMA wamepata maendeleo gani?

    uku kwetu mianzini arusha ni kata ya kaloleni;barabara haipitki na mvua zimeanza;diwani niwa chadema.tangu achaguliwe atujawahi kumuona
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Mi nampongeza kwa kuwa amejua uwezo wa mungu muumbaji wa mbingu na nchi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    Dhambi zote zitasamehewa ,isipokuwa ya kumkufuru roho mtakatifu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ndani ya Emmanuel Tv kwa TB Joshua

    hakuna kuzuga mbele ya nabii.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wana MMU wa Arusha tuandae party yetu

    jamani wana Ar nami nasubiri kuwafahamu jf wenzangu;
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tango transport

    jamani utajiri wa kuleee?huwa si wa kudumu kama hautafilisika baada ya muda basi ukifa tu unapotea ,sio yeye mwenyewe wako wengi tu ,kina marehemu titus,mama shida, kakunda, hawa walikuwa matajiri wa mawe enzi za utajiri wa huyu tango,huyu titus alikuwa anataka mpaka kununua ndege enzi za...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mume hanifikishi kisawasawa

    Pole mdada ,nimeona ushauri umepewa mzuri sana ,ufanyie kazi hasa kujichunguza wewe,pili unatakiwa ujue miaka hii wanaume wengi wanashida ya nguvu za kiume,awe ameoa au la;inawezekana nae mwili wake umebadilika kama wako;ila jiridhishe na utafiti wako,futa uamuzi wako.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Muziki wa Injili Tanzania Wafunika Muziki wa Bongo Fleva Katika Soko.

    Mfalme daudi alimwimbia mungu akacheza mpaka nguo zikadondoka chini ,nauliza alikuwa amesimama.au mlishawahi kuwaona waimbaji wa injili wa congo.mi nadhani kikubwa ni dhamira ya moyo ndo muhimu,umedhamiria unamwimbia nani?kikubwa ni uwepo wa nguvu ya mungu kwenye nyimbo,kuna nyimbo zikiimbwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mods inatosha wanaume kujiunga jukwaa hili, sasa tunataka wanawake wawe wengi. Samahaan lakin!!

    pia mimi napenda kusoma kama mada niyakikubwa huwa nachangia;lkn utakuta mara kuna bamia na cylinder;wengine atuvijui;cwez changia;
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kumekucha Arusha, Vijana waendesha bodaboda waizingira ofisi ya Mkuu wa Mkoa na Mbunge

    siitaji sifa ila ndivyo ilivyokuwa
Back
Top Bottom