Recent content by mollel mollel

  1. M

    Simkubali Haji Manara na ana Matatizo yake, ila kwa hili la Clatous Chama namuamini 100% na wana Simba SC tusidanganywe na Uongozi wetu

    Kaa kwa kutulia ndugu kwanza kabisa bangala sio size yetu kabisa simba labda aucho na kuhusu chama hata chama mwenyewe alishaweka wazi bado yupo morocco sana,, cool down guy
  2. M

    Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

    Sana juzi tarehe 28/9 i was there duh hali ilikua mbaya
  3. M

    Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

    Au tafuta dawa inaitwa Nat-B elfu 35 pakiti nzima unameza kidonge kimoja kila siku baada ya kula
  4. M

    Kichomi ni nini? Husababishwa na nini? Na tiba yake ni ipi?

    Je anatoa choo chenye mtelezo ? Na Kuna vitu kama makamasi hv ? Kama ndio ni amoeba fika duka la dawa nunua dawa metronidazole
  5. M

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Pole sana ndugu, jaribu kuondoa hofu moyoni, sometimes inaleta hiyo Hali,. Jiamini utaweza alafu pia punguza mawazo yanasababisha kutokua na hamu ya kufanya mpenzi, kula vyakula vyenye vitakavyo kupa joto mwilini kama kama chama/supu inapendeza sana kuliko kudanganywa kwenye mitishamba
  6. M

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dokta najiskia kuchoka mda wote na nikijaribu kulala nashindwa kunakuwa na mshtuko fulani alafu kichwa kinauma mda wote nimeenda kwa hospital wananiamba ni mawazo tu,, je tatizo nn ?
  7. M

    Ninaumwa kichwa upande mmoja nahitaji ushauri na msaada

    Ndio, wao waniambia punguza mawazo kitu ambacho sina
  8. M

    Ninaumwa kichwa upande mmoja nahitaji ushauri na msaada

    Nina tatizo la kuumwa kichwa kwa upande mmoja nikimeza dawa ya maumivu bado haiponi, na imefikia kiwango ya kwamba ikianza kuuma zaidi naishiwa nguvu hv, pia najiskia kuchoka mda wote na nikijaribu kulala nashindwa kunakuwa na mshtuko fulani nashtuka so nashindwa hata kulala. Wadau naombeni...
  9. M

    Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

    Wadau naombeni kwa mwenye ufahamu ni siku gani ukilala na mwanamke utaweza kumpata mtoto wa kike/kiume? Anifafanulie please. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    Dar: Polisi waua watu saba wanaodaiwa ni Majambazi eneo la Mwenge

    Polisi ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  11. M

    Zijue faida za Mmea wa Mlonge, Jitibu magonjwa 300 kwa kutumia mlonge

    Huu mlonge nitaupataje Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom