Mada: Fahamu mbinu mbalimbali zinazoweza kukuwezesha kupata mtoto wa kiume

Vipi umefufuka leo nini? Imeonekana ulikosa bando muda refu sana. Haya endelea. Hii mada nimekwisha kuchia wewe. Changia zaidi. Sijui ulikuwa wapi wakati huu mjadala unaendelea?
Unajua life span ya hizo chromosomes kweli au unababwaja tu?
 
Da wengine wanatafuta wa kiume wengine tunatafuta wa kike na mwingine anatafuta ata moja ajapata
 
Vipi umefufuka leo nini? Imeonekana ulikosa bando muda refu sana. Haya endelea. Hii mada nimekwisha kuchia wewe. Changia zaidi. Sijui ulikuwa wapi wakati huu mjadala unaendelea?
Sawa. Nataka nikusaidie kitu kimoja, ni hivi life span ya hizi chromosomes (X&Y) ndiyo inayoamua whether kuna probability ya mtoto wa kiume au wakike

Sperm Y zina uwezo wa ku survive masaa 48 (2 days)

Sperm X zina survive masaa 72 (3 days)

So, coming back to the point of argument... Ni kwamba iwapo utafanya sexual contact na mwanamke siku ya 14 ya mzunguko wake (ambayo ni siku ya ovulation) kwa kuwa sperm Y zina speed sana zitaifikia yai zikiwa za kwanza na kulirutubisha hivyo kupata mtoto wa kiume.
Lakini hata ikitokea yai likachelewa kufika kwenye mrija wa fallopia... tuseme likafika siku ya 15, bado kuna chance ya kurutubishwa na sperm Y kwa kuwa bado zina survive hivyo bado kuna chance ya mtoto wa kiume

Hiki ndo kilifanya nipingane na hoja yako kusema siku ya 14 hakuna chance ya kupata mtoto wa kiume.. You were wrong brother!!!
 
Kuna uzi upo huku tayari wadau wametoa idea zao nyingi nyingi.
Utafute tuu.hata sio wa zamani.
 
Back
Top Bottom