Recent content by mollel arusha

  1. M

    Nini Tofauti ya TB Joshua na Mwingira??

    wakati mwingine mtu anauliza swali ili apate msaada kwa wana jamvi kakini najibu mengine yanasikitisha
  2. M

    Wajameni je ule utabiri wa TB Joshua umetimia?

    unacho sema inaweza kuwa kweli. Lakini kuwa makini na unachokisema. Utabiri wa Yesu ilitimia baada ya miaka 70 na sio 400. Cha msingi soma mat. 24:11 "... maana kutakuwepo manabii wengi wa uongo"
  3. M

    Gari kutetemeka

    usisumbue kichwa wala gari lako kuchokonolewa. hiyo engine mounting tu wala si vinginevyo. hakikisha umebadilisha na kuweka genuine
  4. M

    Anaehitaji Nissan Xtail

    weka bei mkuu
  5. M

    Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    hutapata kura za wacha Mungu labda utabahatisha za walevi maana hata hao wenyewe sio wapigavkura hukesha kwenye nyumba za gongo
  6. M

    Dr. Slaa: Tukishika Dola tutaruhusu utengenezaji wa pombe ya gongo kisheria

    oooooohhhhh!!!. huyu ndiye anataka tumpe nchi, si atatuulia vijana wetu na hiyo gongo lake. laiti angesema atafunga viwanda vyote vya viroba, banana, na vingine vinavyofanana na hizo angepata kura yangu. kachemka!
  7. M

    Amenisomesha, kaninunulia gari lakini sina mapenzi naye

    mimi kitu ninachoona kwako ni kwamba wewe umepoteza kumbukumbu. wengiene kama wewe waliishia pabaya. jaribu kukumbuka ulikotokea from zero. kwanza futa kauli yako hiyo ya kumwita mtu aliye kutoa gizani mshamba. jambo la pili tubu dhambi zako kwa Mungu na kuokoka yaani mpokee Yesu awe Bwana na...
  8. M

    Msaada tecno p5 vs samsung s4 clone

    usichukue hata moja ya hizo. tafuta ya vietnam
  9. M

    Kumbukumbu; MATUKIO YALIYOTIKISA MWAKA HUU 2013

    lililotikisa kabisa ni lile la kuchomwa majengo ya kuabudia haswa makanisa na watu wanaojulikana bila kuchukuliwa hatu yeyote
  10. M

    Je ni kweli ntakufa 2014 April???

    mambo mengine hayataki utani. mimi nikushauri jichunguze maisha yako je umejiandaaje maana duniani sisi sote ni wapitaji hatuna mji udumuo hivyo tengeneza maisha yako tubu dhambi zako na kumwamini Yesu Kristo awe Bwana na mwokozi wako kutoka hapo kifo si kitu tena kwako tena hutaogopa tena...
  11. M

    Kwa kweli hizi ni siku za mwisho

    amini usiamini hizi ni nyakati zile walizonena manabii. kulingana na maandiko matakatifu ya Mungu ktk Mwz 19: 14-17 inaweka wazi kwamba, mambo yayotokea siku za leo kama vile: ushoga, kuporomoka kwa maadili, kupenda pesa kuliko kumpendaMungu n.k inaashiria mwisho ule. Yesu anasema kama...
  12. M

    Matangazo ya pombe yananikera

    Matangazo ya pombe yanayotangazwa kila mahali kupitia runinga, internet, magazeti, face book, jamii forum, radio, n.k yamekuwa kero kwangu. hii inaonyesha wazi jinsi gani taifa linahamasishwa kuwa walevi. ni ukweli kwamba ulevi unaenda sambamba na vitendo viovu kama vile: uasherati, uzinzi...
  13. M

    ADVICE:nina ml 6.5 biashara gani nzuri itakayonizungushi pesa yangu na faida nzuri

    Kwa kweli kama uko serious hiyo pesa ni mtaji mzuri. Cha kufanya ni kwamba lazima kwanza uwe unapendelea biashara fulani halafu tafuta ushauri juu ya kile unachokipendelea maana siokila biashara anawezakufanya mtu
  14. M

    Thamani ya Dr. Slaa kisiasa na anguko lake kabla ya 2015

    Hivi hamsomi alama za nyakati? Slaa hana jipya.
Back
Top Bottom