Bei inategemea na ubora wa bidhaa, ukuwa na mzigo mzuri bei nazo ni super ukifanya ujanja ujanja aaaah Bei nazo ni za ubabaishaji , mbona bakhresa anatengeneza biscuit za sh 50, inamaana yy hakuangalia Bei!?
Kila biashara inachangamoto sio kilimo tu, inategemea na ww umeingia vp ukiingia kichwa kichwa utaona wanaolima wt ni wa puuzi . Jambo la msingi kabla ujaanza fanya utafuti wa bidhaa unayotaka kulima kuanzia mbegu, usimamizi wa shamba, masoko n.k..., karibu shambani mzee.
Kazi nzuri karibu shambani, mie ni mkulima wa pilipili huu ni mwaka wa tatu Sasa Niko mkoa bt ukiwa na tatizo kuhusu pilipili usisite kunitafuta , nakutakia mafanikuo mema.
Kwa mvua zinazopiga sie tushakula za uso kwani tangu November mwaka kaja hazijapumzika kama unataka kulima mahindi uje ulime ya kuchoma ya kiangazi, kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nakupongeza kwa maamuzi uliyofanya ukichukulia kilimo kama Kazi utakiweza then usiingie na matarajio makubwa saaana, kwanza utajifunza I mean changamoto za hapa na pale Ni kawaida kama ilivyo Kazi yeyote, kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenu wataalam na wadau wa kilimo huu ni mche wa pilipili hoho nimeujaribu kuchunguza shambani nikaona miche mitano iko zaifu baada ya kuing'oa nikakutana na hali hii je ninaweza kutumia dawa zipi kuutibu, na je tatizo hili linasababishwa na nini?,,.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.