Recent content by Mokes Junior

  1. M

    JamiiForums Tanzania Shairi

    PUNDA. 1 Mzigo ukimzidia, haraka anatembea tajiri humfaidi, jashole kufurahia hata akijitahidi, atazidi kuumia Punda hawezi faidi, jasho lake hasilani 2 Viboko anatandikwa, atembee kwa haraka umauti akifikwa, mzigo upate fika walah hawezi zikwa, pumziye kikatika Punda hawezi faidi, jasho lake...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Shairi

    CHINI YA MPARACHICHI. 1 Kivuli chake kitamu, mfaidi hafaidi parachichi zake tamu, wengine wanafaidi matunda yake ni sumu, tiba yao makuadi Chini ya mparachichi, nadondokewa na mawe. 2 Matunda yakikomaa, mzee huwa mkali unaweza kulemaa, ukimwambia ukweli maisha ya ujamaa, yalishakwenda na meli...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi

    HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 3 Mtunzi@NijoSenso. Inaendelea.... Sitasahau siku bibi aliponiita ndani na kunikalisha kwenye ngozi nyeusi pale chumbani kwake. Siku hiyo ndiyo iliyobadilisha maisha yangu yote kwani hadi leo ninapoandika hii hadithi bado sipo huru nipo utumwani nimetekwa na uchawi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi

    HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 02. Inaendelea...Kuanzia kipindi hicho nilibaki mkiwa mimi Pamoja na mdogo wangu mmoja wa pekee wa kiume aliyeitwa James. Baadae kidogo baada ya matanga ya baba yetu kuisha, mama mdogo aliyemfuatia mama yangu kwa kuzaliwa alitufuata mimi Pamoja na mdogo wangu James...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Simulizi

    HEKALU LA WACHAWI sehemu ya 01. Mwandishi,, @NijoSenso Katika dunia Kuna mambo mengi sana yaliyojificha kuliko yanayoonekana. Mwenyezi MUNGU mwenye uwezo aliumba viumbe wengi sana wanaoonekana na wasioonekana ila cha kustaajabisha, alimuumba binadam kwa mfano na sura yake ambaye baadaye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Waafrika hatuwezi uongozi, tuwape wazungu nchi zetu watuongoze

    Kiukweli niseme kwamba nchi nyingi za Kiafrika haziendelei siyo tu kwa sababu ya viongozi wake bali pia kwa sababu ya asili ya watu wake. Kumbuka hao viongozi wanatoka miongoni mwetu sisi raia. Naona tatizo la umaskini Afrika halijulikani hata na waafrika wenyewe kikubwa Zaidi tuzidi kutafiti...
Back
Top Bottom