Recent content by Mokerema

  1. M

    JamiiForums Tanzania Lilikuwa Wazo la Nani kumshtaki Lwakatare kwa makosa ya Ugaidi?

    Mjuni, Mwigulu Nchemba na wote wa aina yake ni janga la Taifa. Aliyemchagua kufanya hiyo Kazi ya CCM ya kipuuzi ndiye mwenye tatizo. Wanasema watu " Birds of the same feathers fly together" na wengine wakasema kwa kimombo: "Show me your friend and I will tell who you are" this means Kamati Kuu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba amekiri kuhusika na movie ya Lwekatare - ashikwe na kuunganishwa kesi hiyo

    Just don't waste your time. Lwakatare is government boy who just joined Chadema and is being used by the intelligence to bring down Chadema. He has been fabricating stories which is no longer classified. It appears mission done and its a security way out. Chadema next time around be careful...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tunataka barabara ya 'Kanisa Road' ifunguliwe! - Lema

    Fredmlay! Acha kupotosha watu hapa JF.Ramani uliyoweka ni ya kiwanja cha Mount Meru. Barabara ya " Church road " inaunganisha barabara ya Nairobi -Moshi na ile Old Moshi road. Kama kweli imefungwa I have not been in Arusha recently but nimekulia Arusha hiyo barabara is the only through road...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais ROBERT GABRIEL MUGABE na JAKAYA KIKWETE nani atakumbukwa kwa mema baada ya UTAWALA wao?

    BHagheshi! You are absolutely right you can't compare Jakaya Mrisho Kikwete aka Juha Kalulu aka Vasco da Gama with his excellency Robert Gabriel Mugabe the great statesman, pride of Zimbabwe and Africa,It's only myopic and simple minds can do that. Mugabe has sent the Wesrern Big Brothers to...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mrema: Serikali imeshindwa, ijiuzulu

    Mrema yuko sahihi. CCM has changed Tanzania into a failed State just like Somalia and the Congo(DRC) . Kujiuzulu kwa Serikali ya CCM must be immediate. We can't continue and remain as state under CCM. Just look at what is hapening: Hakuna Maji, Hakuna umeme, hakuna Shule, Polisi na jeshi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania TUME ya kuchunguza MATOKEO MABOVU ianzie hapa

    Kuunda tume it's almost wendawazimu. CCM imewahi kuunda tume zaidi ya hamsini na matokeo ya hizi tume yameishia kutumia billions but to no avail. My take eduction has been decaying over forty years. Kuanzia 1970 baada ya kubuni UPE na kuanzisha kufuta Ada ya Shule bila umakini. Instead of a...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Polisi wazima maandamano Lindi, Mtwara... Hakukaliki!

    JF, Mie napita tu! Ukipita kwenye barabara kuna bill boards( mabango) makubwa ya CCM yameandikwa " CCM Dhaifu Nchi itayumba" siyo maneno yangu kama sijakosea haya maneno yalitamkwa na Hayati Mwl. Nyerere! I didn't always believe whether watu wa CCM walimwelewa Mwalimu . This is what is taking...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iko taabani kifedha

    FUSO! This comment is supersonic! Hongera kwa kuliona hilo! Dar hakuna maji Mnyika anapeleka hoja inazimwa lakini Tibaijuka na Juha Kalulu( Jakaya Kikwete) wako bussy kuanzisha a satellite City in Kigamboni? Tiba aliona kule Kenya wamejenga na kwa kutaka ufahari na Sifa za Kihaya( sorry I don't...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Moto wawaka jengo la PPF Tower - Dar

    As usual Watanganyika we need a new culture and marshal plan with modern fire fighting system . Hii ya kutumia mobile itakuja kutupeleka pabaya. Kwanza hatuna maji na hao watu wa Magufuri pamoja na tambo zao including CRB , mambo ya ndani hawana ujuzi wa fire tenders na ndio maana wanatoa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Barua Kwa Rais Kikwete Kuhusu Mtwara

    Ni kweli Lubua amechukua muda na kuwasilisha vizuri tatizo anayeandikiwa hana washauri zaidi ya kundi la marafiki . Watu wa Mtwara wanaweza kuwa na hoja ya msingi. Ila kuzuia Bomba la gesi lisijengwe sio njia sahihi. Kwani ni kuanza hoja kwa kutumia nguvu. Serikali inawezekana haikutoa elimu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Simbachawene live on Star Tv: Gesi itatunufaishaje?

    Kwa nini Serikali ya CCM hakutengeneza sera ya gesi kwa zaidi ya miaka 10 tangu waanze kuchimba gesi kule Songosongo? Wanajenga Bomba la gesi lakini wataalaam hawahusishwi? Wakati wanajenga Bomba la Songas tuliwaambia waweke Bomba mbili ( double) na pia ukubwa wa kutosha hili halikufanyika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Why High Court of Tanzania must issue interm order stopping the migration to DIGITAL TELEVISION

    Wewe R.B! Acha ujuha matangazo ya kuhamia Digital yamekuwa yakitolewa na TCRA kwa muda usiopingika kisheria almost two years . Wacha kuiga kule Kenya ambako wanayo awareness of course level ya elimu iko juu ya elimu yetu ya Kata wadau walikwenda Mahakamani wakishiitaki mamlaka yao ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Watanzania punguzeni kasi ya kuzaliana!

    Kwa kufungua mwaka 2013 nawapongeza JF. Mwaka huu uwe wa vitendo tusijadili watu. Wahenga walisema " Kiongozi ni taswira ya watu anaowaongoza " sijui kama hii tafsri kutoka Kiingereza ni sahihi" a leader is the mirror image of the people" Ninaweza kuwa nimekosea ila ninachotaka kuelezea hapa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi (UBT) kuhama Januari 15, 2013 kwenda Mbezi Luis

    Ni Wazo zuri kila manispaa iwe na kituo chake cha Mabasi. Hii kwanza itapunguza ulazima wa kila mtu kuelekea Ubungo. Kwa sasa vyombo vyote vya Usafiri vinaelekea Ubungo ukiongezea ukweli kwamba Ubungo ndiyo njia ya kutokea Dar es salaam kwenda Mikoani kuanzia mabasi na hata Malori ya Mzigo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani na nje ya nchi (UBT) kuhama Januari 15, 2013 kwenda Mbezi Luis

    Kila mara nawashangaa Watanzania kwa jinsi walivyo Mazuzu. Asilimia 90% wana IQ ndogo kuliko ya kuku. Mmesahaulishwa kwamba Ridhiwani kwa kutumia kampuni ya Simon Group aliuziwa UDA na Idd Simba? Ubungo bus terminall ni mali ya iliyokuwa UDA. Mchakato unaosingiziwa na kupiisha mabasi yaendayo...
Back
Top Bottom