ELIMU BIASHARA
MAISHA SI YA BABAAKO
Maisha bana raha sana, haswa ukiwa unayaishi vile unataka au unatamani wewe. Japo yana changamoto zake, hatukatai ila unazikabili vipi. Maisha ni yako wewe mwenyewe, si ya Babaako. Pigana jitahidi utafute chakwako, pigana utafute na cha wanao, wakija wakute...