mojax
Member
- Aug 18, 2015
- 13
- 23
ELIMU BIASHARA
MSOMI MUOGA
Kuna wakati Elimu Yetu inatunyima ubunifu wa kugundua vitu vipya na vingi, Lakini pia kuna wakati hata mazingira tuliyopo tu yanatunyima mwangaza. Pata picha mwalimu wako anayekufundisha Ujasiriamali Chuoni hana hata Biashara moja, nayeye anategemea Ajira hiyo hiyo kana kwamba akifukuzwa hapo ataingia na CV mtaani aanze tafuta chuo kingine afundishe. Wewe ukiwa kama mwanafunzi kwanin ukimaliza chuo usitembee na CV na Bahasha kutafta kazi? Alafu mwalimu huyu huyu anataka ukigraduate uende kujiajiri.
Pata Unaingia Class kwenye somo la Business Management unakuta Lecture ni Mo Dewji hata pindi linaingia. Ni sawa na Kuingia kwenye Kipindi cha uchumi alafu Ukamkuta Prof. Honest Ngowi, safii. Hata Viongozi wetu na Maboss zetu maofisini bado hawana Ubunifu, na wanakosa kauli thabiti ya kuwasukuma na kuwasaidia hawa Vijana wajiajiri. Pata Picha kaalikwa Kiongozi flani wa Serikalini au boss aliyeajiriwa kampuni Flani au Shirika la Umma na anakuja waambia " Vijana Jiajirini Fursa zipo", ukiangalia Yeye hata Fursa moja hajaikamata.
Tena yeye ana uzoefu, ana Kipato, ni rahisi zaidi kwake kuliko wewe ambaye huna experience wala kipato. Nakumbuka Story ya miaka ya zamani kwamba, kulikua kuna Nyumba za NHC Town. Kijana ukigraduate Chuo ukapata kazi unakaa hapo kwa mda fulani, then badae unatoka kwenda Kupanga kwingine ili wenzako wanaomaliza nao waje waanzie kujipanga hapo Kimaisha. Hata Maofisini kama boss angekua akifika Level flani anaacha kazi anaenda kamatia Fursa means kungekua na nafasi ya mtahimiwa mmoja kupata chance ya kuajiriwa na kupata experience na capital kidogo ya kuanza invest, na yule Boss akienda anzisha Biashara means atafungua fursa ya ajira kwa mwanafunzi mwingine ili akajifunze Pure ujasiriamali. Ni Mtazamo Tu.
@elimu_biashara