Recent content by Mojashaba

  1. Mojashaba

    jinsi ya kuondoa netwok lock ktk huawei android devices

    Husiweke 3G only bali weka 3G&2G mambo yatakuwa sawia
  2. Mojashaba

    TAHMEED COACH wapewa tuzo ya wasafirishaji bora na serikali

    Unaushahidi na hili uliloandika au ndiyo huko kuchafuliana
  3. Mojashaba

    Haya ndio mambo yanayomfanya Rais Magufuli kuwa wa pekee kuliko watangulizi

    Real braza,anayedisi utendaji kazi wa serikali ya awamu hii huyo ninamashaka na upeo wa ufahamu wake na uenda ni miongoni mwa hao wenye vyeti vya umagumashi
  4. Mojashaba

    Wema Sepetu atimiza miaka 27

    Utu uzima haukwepeki Wema ata ufanye nn!Huo usichana waachie watoto sasa,hata ngozi yako yakana umri unaoung'ang'ania.
  5. Mojashaba

    Matokeo ya Kidato cha Nne ya Paul Tundu Lissu

    Mmejaribu kumtafutia Kick bro Tundu Lissu ila wadau wameshtukia.Aya wekeni matokeo yake halali sasa
  6. Mojashaba

    Kwa wanaohitaji mpunga,nina gunia zaidi ya 500

    Laki 1 mbona bei yako ipo juu mno kk
  7. Mojashaba

    Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Kioo hakidanganyi dada
  8. Mojashaba

    Andika maneno matatu yenye ujumbe mkubwa

    Piga kazi uheshimike
  9. Mojashaba

    Ndege yetu mpya, nani aliyemchora yule twiga?

    Kk funguka tu!Kwa hilo bado ushawishi ni mdogo kwakweli
Back
Top Bottom