Kwa wanaohitaji mpunga,nina gunia zaidi ya 500

Kwa wafanyabiashara,watu au makampuni wanaohitaji mpunga au mchele,nina gunia zaidi ya 500..zipo Igunga mjini..
Hata kama ukihitaji zaidi ya gunia nilizonazo utapata tu

Bei ni maelewano tu,
Njoo pm
Stanboy mchele wa mwanzugi nini? Nakuja hapo muda si mrefu
 
Ndio mkuu,
kumbe unapajua Igunga eehhh?

Mimi ndo huwa nalima Mwanzugi mkuu,
 
Mkuu gunia moja siuzi,
Mimi nauza kuanzia gunia 50...
Ndiyo ukinipa bei ya gunia moja nitazidisha mara hizo gunia hamsini. Usinipe bei ya gunia ya mpunga. Nipe bei ya gunia za mchele. Huku DSM hakuna pa kukobolea... Nipe bei ya hizo gunia hamsini tupige biashara ya fasta...
 
Laki moja na sitini mkuu,

njoo pm tumalize biashara,hatushindwana
 
Kwa wafanyabiashara,watu au makampuni wanaohitaji mpunga au mchele,nina gunia zaidi ya 500..zipo Igunga mjini..
Hata kama ukihitaji zaidi ya gunia nilizonazo utapata tu

Bei ni maelewano tu,
Njoo pm
Habari bro. Huo mpunga wako aina gani na magunia yako ujazo wa debe ngapi na bei ya jumla kuanzia gunia ngapi na bei?
 
Magunia yana ujazo wa debe 7.5
Kuanzia magunia 50,ila hata pungufu kidogo tunaweza fanya biashara....bei ni laki moja kwa gunia moja la mpunga na laki moja na sitini kwa gunia la mchele la kilogram 100
 
Acha udalali mbona bado mchele bei ya jumla ni 1000-1200 ukanda wa tabora, simiyu na shinyanga
 
Kwa wafanyabiashara,watu au makampuni wanaohitaji mpunga au mchele,nina gunia zaidi ya 500..zipo Igunga mjini..
Hata kama ukihitaji zaidi ya gunia nilizonazo utapata tu

BEI
100,000/= kwa gunia moja la mpunga na 160,000/=kwa gunia moja la mchele la kg 100

MAWASILIANO
Njoo pm
Jamaa yangu unachoongea unakielewa?
Sasa hivi mchele dsm unauzwa mpaka Tsh1200 mpaka Tsh1600. Sasa wewe igunga umuuzie mtu kilo 1600 akieleta dsm au dodoma aiuzeje?
Jitahidi ufanye utafit mchele igunga hapo ni sh. 1000.
 
Hapa Igunga penyewe Michele ni 900-1200
 
Back
Top Bottom