UJUMBE WA WAZI KWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN.
Document hii ina ujumbe wa kijana wa Tanzania kutokea Mkoa wa Mara, aliyetumia siku hizi ya maandalizi ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere kumwandikia Rais na...
NATUMIA SIKU HII YA MAADHIMISHO YA WALIMU, KUZUNGUMZA NA WATANZANIA WENZANGU NA SERIKALI.
Usichoke kusoma!! Soma, Soma, Soma ujumbe wangu Mimi Mwalimu nisiye na Darasa la kufundisha, Vyeti vyangu vya Kuhitimu Chuo Kikuu vimekoswa kazi kwenye begi!!
Mimi ni Kijana wa Kitanzania, ambaye...
Katiba ya Mwaka 1977 iliandikwa na wajumbe wa CCM waliokuwa wamepewa jukumu la kuandika Katiba ya CCM baada ya kubadilishwa kutoka TANU.
Kwahiyo hakuna mahala popote ambapo Wananchi walishiriki katika kuandika Katiba ya sasa.
Habari wanajukwaa!!
Naona kuna vuguvugu (fukuto) la aina yake hapa Nchini la Madai ya KATIBA MPYA likiongozwa zaidi na kundi la Chama cha Siasa (CHADEMA).
Mimi pia ni muumini wa kuunga mkono upatikanaji wa KATIBA MPYA na iliyo Bora. Madai ya KATIBA MPYA katika Taifa la Tanzania ni madai ya...
Umesahau kuonesha kuwa sisi Tanzania wenye bajeti kidogo ndiyo tunaongoza kwa Population ya watu dhidi ya Kenya yenye bajeti kubwa!! Aisee!! Hapa Sayansi inagoma kabisa.
Mchakato wa Katiba Mpya sote tunafahamu ulivyoenda na ulivyoharibiwa na "wahuni" wachache wasiolipenda Taifa letu la Tanzania.
Kwa kipindi cha miaka mitano (2015-2020) suala la Katiba Mpya limepuuzwa kabisa na aliyekuwa Rais wa wakti huo.
Viongozi wetu wa kisiasa walijaribu kulipenyeza lakini...
Leo tarehe 15/08/2020 Mheshimiwa John Heche Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini anaemaliza muda wake, amechukuwa fomu ili kulitetea tena Jimbo hilo.
Binafsi naona kama huyu ndiye Mbunge wa Upinzani mwenye nafasi kubwa ya kurudi tena Bungeni kwa jinsi anavyokubalika kwa Wananchi wake.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.