Recent content by mohonde legu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 20 muhimu ya wananchi yaliyotupwa na katiba inayopendekezwa

    Chenge anawapeleka mbio kwani yeye ni nani?ktk nchi hii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Suala kuhusu muungano inatakiwa umakini sana kwahiyo viongozi wajipange kutunza amani
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni Kwaresma Njema

    Kwaresima inaanza Leo kwahiyo tunakila sababu ya kumshukukuru mungu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Waziri Lazaro Nyalandu na hongo za madaraka

    Msigwa watu tunakuamini sana lkn kwa matendo unayokwenda nayo wananchi unatuweka njia panda rushwa imekulegeza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lema: Chagonja haamini kama Rais kaishateua IGP

    Kwani Lema alikuwa jambazi na kama ni jambazi mbona walishindwa kumkamata acheni mambo yenu
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwigulu na Easter Bulaya

    Kwakweli nchi yetu haitaki mtu mkweli has a kwa wakati huu wa uchaguzi mtu akisema ukweli wanadhani anatafuta umarufu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Sitta akutana na wanawake waliokamatwa JNIA kwa madawa ya kulevya

    Itakua pia ni mmoja wao labda
  8. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Sitta akutana na wanawake waliokamatwa JNIA kwa madawa ya kulevya

    Sita mane no mengi ya nini tunataka vitendo na pia wawekwe hadharani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

    Hata mm nasadiki hivyo
Back
Top Bottom