Dr.W.Slaa asipopitishwa na (CHADEMA) KURA YANGU WAMEIKOSA

Ivi siku serikali ikitangaza viongozi wake wakuu kama ivi:
Rais: DR Slaa

Waziri wa fedha na uchumi: prof lipumba

Maliasili: Peter msigwa

Mwanasheria au pengine jaji mkuu: tundu lissu

Ulinzi sugu/ lema

Waziri wa sheria : jussa

Naibu : safari

Waziri mkuu Aikael mbowe

Elimu mbatia

Usalama wa taifa mabere nyaucho marando

Nidhamu na mwenendo wa bunge Silinde

Utawala bora Mnyika

Utamaduni na utalii na maliasili Prof kahigi

Mambo ya nje mtatiro
,........
........
.........
........etc etc
Hii serikali ndani ya miaka 3 Tanzania tunaunda ndege zetu, tunazalisha nyuklia na kuwa na rocket za kwenda sayari zingine!!

Its a dream
 
Ivi siku serikali ikitangaza viongozi wake wakuu kama ivi:
Rais: DR sala

Waziri wa fedha na uchumi: prof lipumba

Maliasili: Peter msigwa

Mwanasheria au pengine jaji mkuu: tundu lissu

Ulinzi sugu/ lema

Waziri wa sheria : jussa

Naibu : safari

Waziri mkuu Aikael mbowe

Elimu mbatia

Usalama wa taifa mabere nyaucho marando

Nidhamu na mwenendo wa bunge Silinde

Utawala bora Mnyika

Utamaduni na utalii na maliasili Prof kahigi

Mambo ya nje mtatiro
,........
........
.........
........etc etc
Hii serikali ndani ya miaka 3 Tanzania tunaunda ndege zetu, tunazalisha nyuklia na kuwa na rocket za kwenda sayari zingine!!

Its a dream



Umeona eeeeh!!!!

TATIZO MA MC WA SHEREHE ZA HARUSI NDIO TUNAWAPA NAFASI YA KUONGOZA NCHI!!!
 
Ivi siku serikali ikitangaza viongozi wake wakuu kama ivi:
Rais: DR Slaa

Waziri wa fedha na uchumi: prof lipumba

Maliasili: Peter msigwa

Mwanasheria au pengine jaji mkuu: tundu lissu

Ulinzi sugu/ lema

Waziri wa sheria : jussa

Naibu : safari

Waziri mkuu Aikael mbowe

Elimu mbatia

Usalama wa taifa mabere nyaucho marando

Nidhamu na mwenendo wa bunge Silinde

Utawala bora Mnyika

Utamaduni na utalii na maliasili Prof kahigi

Mambo ya nje mtatiro
,........
........
.........
........etc etc
Hii serikali ndani ya miaka 3 Tanzania tunaunda ndege zetu, tunazalisha nyuklia na kuwa na rocket za kwenda sayari zingine!!

Its a dream

mkuu umepatia ila kwenye Ulinzi! Sugu awezi.
 
slaa keshazeekasasa zamu ya vijanamzito wa makabwela keshaonesha nia..:lock1::lock1::bump2:
Yaani mimi bila Dr> Slaa, kura yangu itapotea. Yaani itaharibika maana sitapiga. Afu wewe The Gid Show, vijana hawana kitu, kazi kuzurura tu, hamna lolote. Tuwapatie wazee kazi, hata muda wa kuwatunza ni mfupi kuliko vijana.
 
CCM wanatapatapa kweli, hv mnadhani hizo propaganda zenu ndio zitawasaidia msizame awamu hii? yaani hili kombora halikwepeki, CDM ni chama makini kinachokubali mabadiliko, na huwa hakikosei ktk suala la democrasia, mbowe alimwachia slaa, slaa naye kura zcpotosha ataniachia hata mm kura zkitosha,

Na hakuna kiongozi legelege CDM, kwani viongozi wa ngaz za wilaya tu wa CDM wana akili kuliko baraza lenu zima la CCM. Tunaamini kamanda ni kamanda tu, akipewa kulenga hakosei, waleteni hao akina MWIGULU wenu muone tutakavyo wabutua.
 
Hicho kinachosemwa sio masihara wadau, binafsi nimewasikia zaidi ya watu kumi wana misimamo hiyo!
Namimi nimewasikia wakisema akipitishwa Dk Slaa kura watapigia ccm.
Mi mwenyewe namuona huyo mzee mudawake umeisha ameshapauka. Kama hakupitishwa Zitto napigia ccm.
 
Kwa maelezo yako ni kuwa umefanya utafiti katika mikoa hiyo uliyotaja.
Bila kujali dhumuni la bandiko lako kuna mambo machache unisaidie

1. Katika utafiti wako swali lilikuwa lipi?

2. Unafahamu kuwa Chama ni zaidi ya mtu?

3. Wanachama wa CDM wanaojielewa wapo CDM kwa sababu ya sera na njozi za CDM sio kwa sababu ya mtu; Unaelewa kuwa kwa kauli hizi unaathiri ustawi wa CDM?

4. Unafahamu kuwa CHADEMA likuwepo wakati Dr.Slaa akiwa CCM?

Bila kubeza uongozi uliotukuka wa Dr.Slaa hizi sio kauli za kuzi-entertain ndani ya Chama.
 
Back
Top Bottom