Unaonekana bado kinda kwenye hii tasnia ,ila2 nikutie moyo jitaidi kuwa unamuonyesha jinsigani unaumia uyo aliekutenda,pia mpe nafasi yakumskiliza pwent zake pindi anakuwa anajalibu ku handle tatizo ili,,pia kwenye bedi usijitengenae jitaidi kuwa kalibunae, usikubali kuongozwa naayo...
Apo nikwamba umetoka kwenye mstari naunaenda enje,,coz kama hutoowa tena kwakisingizio kukwepa watoto wamama tofautitofaut inamaanisha hao michepuko utakuwa unawaambia wachomoe mimba endapo itatokea wamenasa,,sasa utakuwa umeingia kwenye list yawauwaji,,watoto kwamatabaka nimatokeo2
Tukio lakupiga huwa linakuja automatical kutokana nayeye mke kujibu uharo(shombo) wakati huo mdume uko siriasi naunamwambia maneno yamsingi kama sio yasecondar
Ndugu maisha yandoa sio kama picha lakihindi kwamba lazima kuwe nasongi,,,bado unanafasi yako binafsi ktk kujenga mifumo yako ambayo haitokuwa kama dingiako namaza....mwisho...usisahau kumshilikisha sir god kwakila hatuwa simaanishi kuwa wazazi wako walikuwa wamemsahau sir god.
Daaaaah! Uzi huu umenikumbusha kitambo mno,,,,baada yakupigana na mdume mwenzangu kwakumuona anamfatilia xana manziyangu"""basi tulifumuana kinyama ila mwisho wapicha tukapelekwa kwamjumbe**mjumbe alifanya uwamuzi wakumuita manzi ili aamuwe ile kesi kwaulahisi ili yeye mjumbe asiumize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.