Bandu Ncheche
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 512
- 326
- Thread starter
- #81
Wewe
Unashangaa saa saba hii wenzio tuna wiki ya tatu hakuna mwenye hamu na mwenzie





Wewe
Unashangaa saa saba hii wenzio tuna wiki ya tatu hakuna mwenye hamu na mwenzie





Ndio hivyo na wala hakuna anayetamani kumuanza mwenzie
Peleka tatizo lako mbele za Mungu atarudisha kila kilichopotea back to normal...Mmeoana mkiwa mnapendana kwa dhati, mapenzi motomoto. Baada ya miaka kadhaa ukajikuta huna hisia kabisa na mwenzi wakoje kimila kidini au kisheria unaruhusiwa kumwacha?
Nipo kitandani muda huu hakuna kinachoendelea.
Hahaa Corona hii ,ila isijekua unaisingizia tu, mi naona ndiyo imerahisisha hakuna gharama za sherehe, ni wewe tu na bibi harusi wako imeishaa, Mimi bado mkuu ndiyo nilikua naulizia kama kuna chanceau nimpindue huyo mtarajiwa??
Ana bahati huyo atakayekua mkeo![]()
Hiyo 4figer ebu fafanua sio wote tunaoijuaIngekuwa nimpira tungemualika mwalim kashasha,,sasa mapenzi yasivyo naformula maarum sijui itakuaje labda tutumie 4figer
Nyote mmechokana hisia zimekufa?Ndio hivyo na wala hakuna anayetamani kumuanza mwenzie
Hizo lips za avatar zinafanana na zako kabisaaanimekua handsome we huoni