Mwanamke akikukera usimpige wala kumuacha

Ninaishi na mwanamke niliyemchagua akilini(wakufikirika) tangu nikiwa sekondari, tabia, pressure yake akikasirika, akifurahi, akilia kwa hisia juu yangu akiwa na raha, akilia kwa hisia against mimi kam nikiwa nimemkosea, hyu ni zaidi ya house wife, anaumwa naogopa kumkosa nioombeeini. sina hakika kama nikimkosa nitapata mtu mwingine kama huyu. nimekula(gonga) malaya zaidi ya 1000 naishi na mtu ambaye nahisi(kwa hisia zangu) hajawahi kugusw na mwanaume wingine.

Nawaasa sana wanaotaka kuoa, au kuolewa ishi na mtu unayemfahamu hisia zake, wale wenye hisia za kuchepuka utajua tu, ila itabidi uwe mwizi mtaalamu wa kuchepuka zaidi yake, akikuzidi hapo ndio tatizo litakapokukuta)

nilipenda sana nipate mwanamke ambaye hata nikiwa america hatamvulia mwanaume mwingine pichu. nilichagua wanawake watato katika pita pita ya miaka 3-4(chuoni na kazini) nikichagua wife material, wa kwanza katika list sikuweza kuishi naye, alikuwa ni malaya, na alikuja kuzaa na wanaume watatu(mvivu,anaomba kodi ya meza hata kabla ya meza yenyewe), kimuonekano alikuw ani mzuri kupita wote katika orodha ya wake wa chaguo langu. wa pili kwa uzuri katika list alikuwa maharage ya ^%^& UKIKUTANA NAYE HATA WEWE UKIMSTUA UNAKULA TUNDA huyu nilidumu naye mwaka mmj, alikuwa napenda sana ngono, na mimi nilipenda sana ngono, popte pale tulipokuwa miti inapigwa, alinifanya niwaze sana huko maishani itakuaje, ni assume nasafiri nitakuta watoto wamejaa, alikuwa mtamu sana kingono kuliko wa kwanza, changuo la tatu ni wifi yenu. Nampa bigup sana. huyu labda umbake, na utumie nguvu sana. hawezi kukufokea hata kidogo, kama umemkosea anakaa nalo moyoni anaumia na siku ukirudia tena na tena atazimia, amepata presha ya kukata tamaa, anaumwa, huwa anaanguka inaniuma sana, katika kanuni za maisha sijawahi kukubali kosa alilolijua dhahiri nilikataa sio mimi, na anaamini hivyo, kuwa muwme wake ni mkweli. moyoni najijua napiga viuno huko nje(sitamani mtu aige hizi tabia)
 
Hupendi demu malayaa ila wewe malayaa...
 
"Kumuelewa Mwananke ni zaidi ya kuchunguza kisayansi uwepo wa Mungu" Juliusi Kambarage Nyerere 1973
 
Vijana ni heri ujue unaishi mwenyewe kuliko kulealea upumbavu kwenye ndoa na mji

Lazima nafas ya baba, mama na watoto afahamike kwny mji wko na kila mmoja asimamie nafas yke
 
"Kumuelewa Mwananke ni zaidi ya kuchunguza kisayansi uwepo wa Mungu" Juliusi Kambarage Nyerere 1973
Mkuu mwanamke kumuelewa ni kazi rahisi sana. Wanawake ni watu wazuri hapa duniani, niwavumilivu sana mkuu na wako open sana, Mpende na kumjali mwanamke atakupa moyo wake wote, mpe maono na katika maisha atakuwa nabii wako wakati wote. Wanaume ndo tunavuluga wanawake na kuonekana ni kituko. Wanaume tumeweka ngono mbele pasipo kujali hisia za wenzetu.
 
Ninaishi na mwanamke niliyemchagua akilini(wakufikirika) tangu nikiwa sekondari, tabia, pressure yake akikasirika, akifurahi, akilia kwa hisia juu yangu akiwa na raha, akilia kwa hisia against mimi kam nikiwa nimemkosea, hyu ni zaidi ya house wife, anaumwa naogopa kumkosa nioombeeini. sina hakika kama nikimkosa nitapata mtu mwingine kama huyu. nimekula(gonga) malaya zaidi ya 1000 naishi na mtu ambaye nahisi(kwa hisia zangu) hajawahi kugusw na mwanaume wingine.

Nawaasa sana wanaotaka kuoa, au kuolewa ishi na mtu unayemfahamu hisia zake, wale wenye hisia za kuchepuka utajua tu, ila itabidi uwe mwizi mtaalamu wa kuchepuka zaidi yake, akikuzidi hapo ndio tatizo litakapokukuta)

nilipenda sana nipate mwanamke ambaye hata nikiwa america hatamvulia mwanaume mwingine pichu. nilichagua wanawake watato katika pita pita ya miaka 3-4(chuoni na kazini) nikichagua wife material, wa kwanza katika list sikuweza kuishi naye, alikuwa ni malaya, na alikuja kuzaa na wanaume watatu(mvivu,anaomba kodi ya meza hata kabla ya meza yenyewe), kimuonekano alikuw ani mzuri kupita wote katika orodha ya wake wa chaguo langu. wa pili kwa uzuri katika list alikuwa maharage ya ^%^& UKIKUTANA NAYE HATA WEWE UKIMSTUA UNAKULA TUNDA huyu nilidumu naye mwaka mmj, alikuwa napenda sana ngono, na mimi nilipenda sana ngono, popte pale tulipokuwa miti inapigwa, alinifanya niwaze sana huko maishani itakuaje, ni assume nasafiri nitakuta watoto wamejaa, alikuwa mtamu sana kingono kuliko wa kwanza, changuo la tatu ni wifi yenu. Nampa bigup sana. huyu labda umbake, na utumie nguvu sana. hawezi kukufokea hata kidogo, kama umemkosea anakaa nalo moyoni anaumia na siku ukirudia tena na tena atazimia, amepata presha ya kukata tamaa, anaumwa, huwa anaanguka inaniuma sana, katika kanuni za maisha sijawahi kukubali kosa alilolijua dhahiri nilikataa sio mimi, na anaamini hivyo, kuwa muwme wake ni mkweli. moyoni najijua napiga viuno huko nje(sitamani mtu aige hizi tabia)
Mkuu,
Wewe ni Motoni Moja kwa Moja
 
Mkuu mwanamke kumuelewa ni kazi rahisi sana. Wanawake ni watu wazuri hapa duniani, niwavumilivu sana mkuu na wako open sana, Mpende na kumjali mwanamke atakupa moyo wake wote, mpe maono na katika maisha atakuwa nabii wako wakati wote. Wanaume ndo tunavuluga wanawake na kuonekana ni kituko. Wanaume tumeweka ngono mbele pasipo kujali hisia za wenzetu.
Ukibahatisha usidhani kuwa wanawake wote wapo hivo kama unavofikilia.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Tukio lakupiga huwa linakuja automatical kutokana nayeye mke kujibu uharo(shombo) wakati huo mdume uko siriasi naunamwambia maneno yamsingi kama sio yasecondar
 
Wakuu wanaume wenzangu,

Nimeona wanaume wengi sana wake zetu wakitukera sana basi tunaishia kuwapa kichapo na hata kuachana nao. Hii ni misuse of resources kwa kiwango kikubwa sana.

Yaani tunashindwa kuishi nao kwa akili. Hii ni Failure kubwa sana kwetu Wanaume.

Mwanamke akikukera sana, usimpige, wala usimuache, especially kama mna watoto. Mfanye awe House girl wako akutunzie wanao.

Nakaribisha Maoni kutoka pande zote, kiumeni na Kikeni
Mke mfanye awe mke usimfanye awe house girl.

Pia mimi siamini katika kipigo. Jawabu la upole hutuliza ghadhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukibahatisha usidhani kuwa wanawake wote wapo hivo kama unavofikilia.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kwani aliyekuambia uchaguwe mbovu ni nani mkuu, Choice ni yako mwenyewe alafu lawama ziende kwa mchaguliwa hapo tunakosea sana. Ndoa inahitaji maandalizi na muda wa kutosha,
Great thing need great time.
Vijana wengi hatufanyi maandalizi ya kumshirikisha Mungu kabla ya kuingia kwenye ndoa. Kama mtu amekosea kuchagua mwanamke lawama azibebe mwenyewe na siyo mwanamke.
 
Mke mfanye awe mke usimfanye awe house girl.

Pia mimi siamini katika kipigo. Jawabu la upole hutuliza ghadhabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu unayempenda unaanzaje kumpiga?
Adhabu kubwa kwa mwanamke ni kutokula chakula chake kwa muda kidogo. Majadiliano ndiyo njia sahihi katika ndoa ila ubabe ni kupoteza muda
 
Back
Top Bottom