Huyu mdada wa nyumbani huyu. Nashukuru nimeshinda mtihani

Mkuu mi hata niliwezawezaje! mfanyakazi wa kwanza wife kaenda masomoni kaniacha nae ndani miaka miwili,kanifanyia vitimbi vya kila namna.Nikimpa mshahara kila akirudi sokoni ataniletea zawadi,watoto wakiwa shule tukiwa wawili atashindia upande wa kanga chuchu zimejaa,kalio hilo mguu usiseme.siku moja kanga ikamvuka mbele yangu daah! nikikumbuka tu wife nikamshinda shetani.

Wa pili huyu alikuwa mgogo mweupee, shingo ina michirizi yuko vizuri kakaanza na kenyewe mitego,wife akawa anafanya juu chini asiwe karibu na mimi lakini wapi? sijamla na yeye kwa kumheshimu mke wangu.MKUU nakuunga mkono kuishi na hawa watu kama mwanaume HUJITAMBUI utaharibu nyumba yako
something is very much wrong somewhere.
 
Afu ukute mkeo kule Chuoni alikuwa anasomewa na kulipa kwa njia mbadala! Shetani sio mtu mzuri!
 
SHETANI hana Adabu.

kuna limoja hilo nililikamatia,ebwana weeee!!!,

lina pulling za haja.

alikuwa ananipigia stopa za hatari kule mahala utafikiri tuna_act movie.

nikao hii sasa najipeleka kwenye mtego wa kulioa,nikaipatia nauli likachapa raba.

siku hz nilishaokoka na namkataa SHETAN na kazi zake zote.

lkn lilikuwa litamu
 
Wakuu,

Amani iwe Nanyi, takriban Mwezi wa Tatu huyu Dada aungane na Familia yetu lakini kila siku zinavyoenda najikuta shetani ananiambia nimgegede, mbaya zaidi dalili zote zaonesha she is ready for anything. Mpaka sasa nimefanikiwa kumshinda Shetani. Nashukuru kwa kukishinda kishawishi hiki.

Yuko nyumbani na anaendelea vyema kabisa na shughuli zake.

Wanasema " wese liwe jingiiiii"

#MC
 
Angalia usije ukacheza kama ule mchezo waliocheza wale jamaa kwenye muvi ile ya (warbus) unashangilia ushindi wakati bado upo kwenye fire zone
 
bwana "KYALOSONGI" haya mambo hayajali umbali,waweza dhani wangu huko chuoni watu walikuwa wanagonga(unaweza ukawa sahihi/siyo sahihi),,,ukasahau kwamba mkeo anagongwa mchana usiku unamalizia wewe bila kujua wapuuzi washafanya yao. NDOA IMANI KAKA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom