Recent content by mohammad millanzi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa TLS wa kutoa matamko mbovu wanasheria mdhibitini Tundu Lissu

    Umemuona rais huyo tu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ashiriki ibada ya Pasaka, awataka watanzania wamuombee

    Dua zinagongana huko mbinguni .Kuna dua na maombi ya wale waliodhulumiwa uchaguzi wa 2015 Zanzibar na ushindi wao ukafutwa.Bado kila uchao wanamlilia yule anaemiliki uhai ili haki yao ipatikane. Then anaona yanakuja maombi mengine ya wale wanaodhulumu haki ile hivi unadhani atakubali ombi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haya ya Rufiji ni kuichokoza nchi

    Tuwe wazalendo kwa vyote.Hii ni hatari kubwa mno.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la Roma Mkatoliki: Waziri Mwakyembe amtolea uvivu Juma Nkamia

    Yupo sahihi jamani.Roma ni msanii na Mwakyembe ni waziri wake.Tatizo liko wapi?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

    Upo sahihi sana Dada yangu. Wengi hawajui thamani ya harufu mzuri ya asili.Unakuta kijana au binti anatumia gharama kubwa sana ya vipodozi ili tu aikate harufu yake ya asili. Wajifunze mfano wa wasichana wa kazi wanapovunja ungo nyumbani kwa tajiri wake Mara nyingi ndoa zinavurugika.Moja ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Halima Mdee kumtusi Spika, tunakoelekea ni kubaya zaidi

    Sipka nae kawita maafisa wa bunge makobe kwa kuchelewa kukabidhi barua.matusi kuanzia ...mpaka....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bodi mpya ya Wadhamini ya CUF yasajiliwa rasmi RITA

    Ni bodi ya chama si ya ccm c..CUF ni taasisi imara na tutailinda kwa gharama yoyote dhidi ya vibaraka.Chini ya kiongozi mzalendo Maalim Seif hatimae tutavuka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanyakazi anzisheni mifuko ya hifadhi ya jamii

    Watanyag'anya na hiyo tena
  9. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yapiga Marufuku ndoa kufanyika bila ya vyeti vya kuzaliwa kuanzia 1/5/2017

    Anaejua wapi tunako elekea naomba msaada anifahamishe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hakuna kitu hata kimoja alichoweza kufanya Paul Makonda na hata akapongezwa?

    Kwani Mzee kabwe aliekufa kwa preshaa za bashite hakuwa na mema aliyofanya zaidi ya tuhuma za bashite?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sakata la Zanzibar lawagawa CCM, watendaji serikalini

    Kuna taarifa ambayo inahitaji uthibitisho kuwa kutokana na kibano cha wahisani mifuko ya Sacco's kubwa hasa za wafanyakazi zikahamishiwa au zimehamishiwa hazina.Tufanye uchunguzi juu ya taarifa hii.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu kuhusu anayejiita Mdogo wa Gwajima

    Nani anasema habari ya kuondoka.Tnasema tumsaidie rais kupambana na wenye vyeti feki full stop...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Makonda akiombewa dua na Mashehe

    Kazi ipo mwaka huu.
Back
Top Bottom