charles mususa
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 297
- 144
Kwenu viongozi wa vyama vya wafanyakazi
kwa kuwa mifuko ya hifadhi ya jamii NSSF,PPF,PSPF,LAPF GEPF yote imeonekana siyo kwa faida ya wafanyakazi ila kwa faida ya wakubwa.Kwa nini kwa umoja wenu msifikirie wazo la kuanzisha mifuko aidha ya kisekta kwa vyama vyenu au mfuko mwingine utakaoshindana na mifuko inayoendeshwa na serkali? hii ni challenge kwenu, mnyonge anajikomboa na chake.