Recent content by mohamedll303

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini hadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wilaya imeshuka sana?

    Kwa kuwa sasa hakuna upinzani ndiyo maana hawaonekani
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha RC Anthony Mtaka kubatilisha maagizo ya DC Bariadi si cha kawaida

    Msikilize waziri wa TAMISEMI
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha RC Anthony Mtaka kubatilisha maagizo ya DC Bariadi si cha kawaida

    Katibu tawala naye katatilisha
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hivi unyanyasaji huu dhidi ya walimu ni hujuma dhidi ya Rais,au ni maelekezo kutoka juu?

    KAMA MTU ALIPANDA DARAJA MWAKA JANUARI 2016 AKAANDIKWA BARUA NOVEMBA 2017 UNATEGEMEA NINI HAPO WAKATI WENGINE WALIENDELEA KULIPWA. JIONGEZE HAKUNA HAKI AWAMU HII
  5. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini Tanzania waoga mno

    Sema ni wanafiki wana ubaguzi enzi zile walikuwa wanaandaa nyaraka za kuikosoa lakini kwa sasa wamebaki kusifia
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sakata la January Makamba na Pesa za NSSF: Awataka maadui zake kumkabili moja kwa moja

    Kama serikali imejenga mahakama za mafisadi naona umefika muda muafaka kuyapeleka mahakamani kwa kuwa gazeti lina ushahidi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    umeuleta baada ya kuita bunge ni dhaifu Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania University offer ya voda imebadilishwa au?

    Wanataka usajili tena upya hata mimi nimekutana na hali kama hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wanaompinga na kumtukana Rais mtandaoni hawa hapa

    Watumishi wa umma hasa wale walioajiriwa 2013 na mpaka sasa hawajapanda madaraja wakati sheria inasema kila baada ya miaka mitatu anapaswa kupanda daraja Sent using Jamii Forums mobile app
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nini tofauti kati ya mfumo na nyaraka zilizotumika kuhakiki vyeti feki na uhakiki wa umri?

    TATIZO NI KUMBANA MTUMISHI ASIDAI HAKI YAKE AFIKIRIE UHAKIKI TUU.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vyama vya wafanya kazi mfano CWT na TUCTA wamekaa kimya kuhusu waajiri wao

    Kikwete walimsumbua kwa kuwa alikuwa upande mwingine wa upande wao hawawezi kumsumbua walimwahidi Mei mosi 2016 Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Tanzania TLS ni Taasisi isiyo na msaada kwa wananchi, nyumba zetu zinabomolewa Kimara

    Serikali ndiyo ya kulaaniwa maana imeshindwa kuwajali wapiga kura wake Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Polepole wewe ndio msemaji wa Serikali?

    Sawa mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom