Freelancer
JF-Expert Member
- Sep 22, 2008
- 2,950
- 2,149
hujalala tu? 😀😀😀😀.Akili zako kama kifurushi cha tigo jaza ujazwe
hujalala tu? 😀😀😀😀.Akili zako kama kifurushi cha tigo jaza ujazwe
Lakini hata waziri Kigwangwala huwa anajibizana na Mange kwa niaba ya serikali.kwani mange ndio msemaji wa wa watu siku hizi..siasa hizo zinamfaa aliyejibu!!
kwanza seriklali haiwezi kumjibu mange?...itamjibu kama nani?!!
Ni MB kiduchu,utafika hata kwa mkopoUlikoniambia hata sipajui. Nauli ya kufika ni kiasi gani?
Nani kaanzisha thread?Tatizo uliishi kwa kujipendekeza. Sasa unajipendekeza mahali pasipo sahihi.Na hii haikuwasaidii sana kurugenzi ya habari. Ukweli mchungu ni kwamba penda usipende Mange ktk ktk ile back to back waliyokuwa wanapiga na mzee wa kudai vyeti, waliibuka kidedea na mitaani watu wanasubiri sana kusikia nini wanatoa kipya. Si busara sana kuleta njaa zako na kudanganya watu kuwa wanachoongea hakina msikilizaji.Vichwa vya Ufipa Francis12, nicholoaus , Salary Slip, wazee wa kuanzisha thread zimejaaa daily. We Salary Slip utakuwa bwana Kilewo maana akili zenu zinafanana. Yaani mnataka huyo mropokaji ajibiwe na Angela Kairuki ndo nafsi zenu zitapoa. Serikali haiwezi kukaa ikakijibu kimtu ambacho kinashinda tu mtandaoni mpaka kinasahau kupikia watoto hata kazi hakina. Hata Kigwangala nilikuwa namshangaa alikuwa anapoteza muda na kujadiliana na watu ambao neno majadiliano hawalijui. Hako kabibi mtu akimpinga tu anakula block sasa akili ya wapi hiyo halafu ndo kanalilia freedom of speech lakini hakapo tayari kusikia mawazo tofauti na yake. Kanatumia blackmail ya kuwazalilisha watu halafu kuna mpuuzi mmoja anathubutu kukaita kana akili. Ukiwa na akili timamu huwezi ukaamini ujinga wa kusema walinzi eti wanyarwnda. Mbona mnaendekeza ujinga hivyo kwa hoja nyepesi? Mmebaki kujadili tu uzushii na petty issues.
Yule diwani wa Hai!Naombeni mnisaidie kunijulisha kiongozi mkubwa tuliyeahidiwa na Polepole anahamia ssm
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa na akili ungejiuliza anatumwa na nani kumjibu au mbona mabosi wake hawamkatizi kumjibu kama hatumwi na mtu.Vichwa vya Ufipa Francis12, nicholoaus , Salary Slip, wazee wa kuanzisha thread zimejaaa daily. We Salary Slip utakuwa bwana Kilewo maana akili zenu zinafanana. Yaani mnataka huyo mropokaji ajibiwe na Angela Kairuki ndo nafsi zenu zitapoa. Serikali haiwezi kukaa ikakijibu kimtu ambacho kinashinda tu mtandaoni mpaka kinasahau kupikia watoto hata kazi hakina. Hata Kigwangala nilikuwa namshangaa alikuwa anapoteza muda na kujadiliana na watu ambao neno majadiliano hawalijui. Hako kabibi mtu akimpinga tu anakula block sasa akili ya wapi hiyo halafu ndo kanalilia freedom of speech lakini hakapo tayari kusikia mawazo tofauti na yake. Kanatumia blackmail ya kuwazalilisha watu halafu kuna mpuuzi mmoja anathubutu kukaita kana akili. Ukiwa na akili timamu huwezi ukaamini ujinga wa kusema walinzi eti wanyarwnda. Mbona mnaendekeza ujinga hivyo kwa hoja nyepesi? Mmebaki kujadili tu uzushii na petty issues.
Na wewe unatumwa na nani na kihere here chako? Mbona hatukuulizi?😀😀😀😀😀Ungekuwa na akili ungejiuliza anatumwa na nani kumjibu au mbona mabosi wake hawamkatizi kumjibu kama hatumwi na mtu.
Polepole hajitambuwi na hata hajui analopaswa kuongea.Jana mwanadada Mange katika account yake ya Instagram alikuja na habari nzito kidogo kuhusu ulinzi wa mheshimiwa habari ambayo hata mimi binafsi ilinishitua na kuniacha na maswali mengi kichwani mwangu.
Baada ya kusoma hiyo habari nilijua tu ni lazima itajibiwa/kukanushwa na vyombo husika na kama sio vyombo husika basi bwana Polepole lazima atajibu tu.
Kama nilivyofikiri,naona bwana Polepole teyari keshajitokeza kujibu na kukanusha habari hiyo na hii ikiwa si mara ya kwanza kwa bwana Polepole kumjibu mwanadada yule.
Swali langu ni je,Polepole ndio msemaji wa serikali?
Kama wahusika wameamua kupuuza taarifa hizo,kwanini Polepole ndio anahangaika?
Au bwana Polepole account iliyotumika kumjibu Mange si yako bali ni account fake?
Polepole wewe ni member mwenzetu hapa JF hebu tunaomba ujitokeze ili utoe ufafanuzi/majibu juu ya hili swala.
Unataka awe na usingizi kama Mashinji.!Siku hizi polepole amekuwa haraka haraka ana kiherehere