My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Viongozi wa Dini Tanzania hawamwogopi Mungu bali wanaiogopa serikali kuliko chochote.
Ni kichefuchefu mno kwenda kanisani au msikitini kuwasikiliza viongozi wa aina hii.
Waoga wasiojua wajibu wao, Tumesoma kwenye Biblia jinsi Elia mtumishi wa Mungu alipogombana na Mfalme na kisha akaifunga mvua kwa miaka mitatu isinyeshe.
Mfalme alimtafuta Elia ili amuue,Elia alikimbilia porini na kisha Mungu akawa anatuma kunguru kumpelekea mikate Elia,akijisikia kiu Mungu alishusha maji kutoka mbinguni ili Elia anywe.
Elia hakupenda matendo ya mfalme na alisimama kumkemea,leo hii hapa Tanzania unyama unatendeka kila siku halafu viongozi wa Dini wanakenua tu na tabasamu tu na wenyewe wanaogopa kutekwa,kila siku wanawaza kuitwa ikulu kunywa juice na kusifia.
Fake Clerics.