Recent content by Mohameddiwani

  1. Mohameddiwani

    INAUZWA Nauza friji dogo

    IPo elfu 70 hapa kwenye mfuko wa shati.ninunulie kabisa na pepsi big 2 ziweke ndani zipate ubaridi, ukija nakurudishia ela yako Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mohameddiwani

    Simba vs Tiger

    Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mohameddiwani

    Simba vs Tiger

    Sent using Jamii Forums mobile app Hivi hao Tiger mnaosema wana uwezo wa kupigana na Simba, ni Tiger gani au sio awa?
  4. Mohameddiwani

    Simba vs Tiger

    Unajua huyo simba alikuwa na ukubwa gani? Maana kama alikuwa simba mdogo au simba jike ni lazima apigwe na Tiger. You tube ndo msema kweli maana mapambano mengi kati ya Tiger na simba 90℅ ushindi uwa unaenda kwa Simba Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mohameddiwani

    Simba vs Tiger

    Jamani ebu acheni kumfananisha Lion King na vitu vya kijinga.mnataka kuniambia kuwa waliyomwita ilo jina walichukua rushwa?.huyu jamaa katika dictionary yake uwa hakunaga neno (kumkimbia mpinzani), hata uyo mamba uwa anakimbia akijua kuwa kaingia kwenye 18 za Lion king Sent using Jamii Forums...
  6. Mohameddiwani

    Kwanini Tanzania hakuna daily briefing juu ya Corona virus pandemic?

    Ni kweli watu wengi bado awajapata elimu kuhusu huu ugojwa, hapa mtaani kwetu kuna mwarabu anafuturisha watu tena mbaya zaidi wengi ni watoto wadogo. Nimesikitika sana baada ya kuona hali ile Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mohameddiwani

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Unamwazishia mwenzako mbovu, alafu na yeye anakuanzishia mbovu baadae Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mohameddiwani

    Hakuna watu wanaopenda kujisifu kama wacheza drafti

    Hii ni listi ya watu hatari usiombe kukutana nao * Magwelele *Dege Maeneo ya buza kuna mtu anaitwa * Ally white Maeneo ya majohe kwa ngozoma kuna mtu anaitwa *Noa Maeneo ya mzambarauni kuna mtu anaitwa * Bad mwite Hawa ukikutana nao usikubali kupewa hata sare 1 maana ni zaidi ya wezi...
  9. Mohameddiwani

    Urusi yaipita China kwa idadi ya walioambukizwa Corona

    Msitupe Data za wenye mambukizi peke yao, tupeni Data za mpaka waliokufa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mohameddiwani

    Urusi yaikatalia Marekani ikisema haiwezi kukaa meza moja na magaidi

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ulilisomaje Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mohameddiwani

    Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

    Uturuki bado sana kwenye mambo ya kivita,nashangaa wabongo wanavyompa sifa kibao Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mohameddiwani

    Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

    iyo silaha utajuaje ubora wake pasipo kuingiza kwenye uwanja wa vita? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mohameddiwani

    Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

    wewe unaleta siasa mi sio mwanasiasa mi nataka data kuwa Uturuki kafanya nini chakushangaza ulimwengu.Iran tumeona alichomfanyia Marekani katengeneza ballistic missile,kisha kazituma vizuri na zikafika salama kabisa.huyo Uturuki kafanya nini kwenye ulimwengu wa kivita Sent using Jamii Forums...
  14. Mohameddiwani

    Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

    Historia hiyo unayotuletea sijui Ottoman empire kwa sasa aina maana ndugu maana kutoka huko mpaka hapa tulipo sio mchezo.Iran tuliona vita yake na Iraq ya Saddam hussen iliyokuwa on fire lakini matokeo yake yaliwashangaza wengi. Tumeona waasi wa houth wanaosaidiwa na Iran jinsi walivyokuwa na...
  15. Mohameddiwani

    Turkey seeks US Patriot Missiles to deter Russia in Syria

    bangi sio mzuri ukichanganya na mnazi Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom