Hata Saudis nalo ni taifa la kushangaza na kutisha? Afadhali turkey kidogo.. Hawa wote ni vibaraka wa marekani.. wanategemea kila kituvkutoka Western world..Kwenye masuala mazima ya nyanja ya kijeshi SAUDIA na TURKEY Hawana Maajabu
Bila Misaada Yakiulinzi Kutoka Kwawashirika Wao SAUDIA na TURKEY Zitakua Kama Zilivyo YEMEN SYRIA YEMEN LEBANON IRAQ nawengine
Kiufupi Kwenye Nyanja Hizo Nlizozitaja Jamaa Hawana Maajabu
Uwepo wa maslahi ya US Pale SAUDIA na TURKEY Ndio Kunayafanya Yale mataifa Yawe Vile Unavyo Yaona
Hemu Vuta Picha Kama Migogoro Iliopo Baina ya US na IRAN Kama Ndio Ingekua Ipo Baina Ya SAUDIA na US Ama TURKEY na US Unadhani Hayo Mataifa Yangekua Kama Yalivyo sasa Eidha Yangelikua Yaisha Samabaratishwa Ama Yashavurugwa
IRAN Anakutana Nachangamoto sana kulinganisha nahayo mataifa mawili tajwa hapo juu ila Bado Yuko Imara
Nahisi Umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kwa miaka 10 tu wairan waachwe bila vikwazo kila Jambo zuri la kiteknolojia , kijeshi, kijamii, kiuchumi litaonekana ndani ya UAJEMI..
Watakuwa real superpower ya middle east yote.. na US NYUMBANI kwao watarudi ..
Sent using Jamii Forums mobile app