Na habari nilizopata hivi punde ni kuwa yawezekana kabisa ni Chadwma wenzao ndio wamewvamia kwa kuwa walijua fuko kubwa likiwa na milioni hamsini walililokuwa nalo kina Kiwia wakitoa rushwa
Wewe una uelewa kidogo sana....taarifa ya Zitto iko wazi kuwa walikuwa wanapitapita usiku kuhamasisha watu wakapige kura....sasa unaposema walikuwa wanatembelea jamaa ina maana unapingana na taarifa ya Zitto ambayo iko inaongoza thread.Wewe waambieni wakipona wasiwe wanavunja sheria next day...
Damu ya binadamu wasiofata taratibu na kwenda kupiga kampeni usiku itaendelea kumwagika na ndio itajenga heshima kwa nchi yenye ustawi na kufata sheria bila shuruti.kampeni usiku wa manane nyumba za watu
Ife kwa sababu gani kwa kuwa wananchi wamewachapa panga leo ahhahahahahahaha na baada ya panga tunawashinda kirumba,tunawashinda songea na tunawashinda arumeru ccccccm shumata!
Marekebisho: ni muda mfupi baada ya kuhojiwa na Kamati Kuu yani Central Committee au CC na sio NEC kama ulivyoandika na alipata shinikizo la damu na sio kuuwawa.
Naseam hivi mimi sio mfwasi wa Lowasa wala ufisadi lakini ukweli ni kuwa Sioi kwanza ana kura za huruma kama ilivyo kawaida ya watanzania kuhurumia wafiwa......second ana kura za washiri as walikuwa wanamuheshimu sana baba yake na tatu anakura za base ya baba yake ambaye alimshinda Nasari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.