Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

2talajie mengi mwaka 2015! Tanzania inakwenda kubaya! Poleni sana Machemuli na Kiwia
 
Shame on you CCM, shame on you.

Wazungu tuliwaondoa bila kuuana, hawa waafrika wenzetu wanataka tufe kwanza ndio tuwatoe? Hii ni aibu
 
Zitto Poleni sana Pole nyingi kwa KIWIA na Machemli na wanachadema wote na wapenda haki hapo mwanzo,Watanzania na dunia tumeona CCM haitakii mema nchi yetu ni chama cha matusi mumiani na waauaji mwisho wao kweli umefika wameingiza sera za kuua sio kushindana Mungu
 
2talajie mengi mwaka 2015! Tanzania inakwenda kubaya! Poleni sana Machemuli na Kiwia
kauli kama hizi '' tutarajie mengi mwaka 2015.....tutasikia mengi mwaka huu.... na zingine ni kauli za kijinga na uoga....sasa tufike mahali tusema inatosha....ccm waache upuuzi wao
 
Katika taarifa ya habari ya saa nne asubuhi TBC fm radio imetangaza habari ya kujeruhiwa kwa wabunge wawili wa Chadema. Habari kamili zitafuata baadae...
 
ccm wapumbavu na washenzi wakubwa....kwa nni wanafanya unyama huu?? kule arumeru mpaka sasa ndugu omary maarufu kama matelephone mpaka sasa hajulikani alipo...ccmwakiongozwa na beno malisa wamemteka...huu ushenzi sasa ufike mwisho

Mkuu, mimi nina wazo...

Kuandika humu jamii forum peke yake haitoshi. Inabidi tutoke njee tuiambie dunia huu unyama unaofanywa na CCM.

Hatuwezi Kusubira ITV na TBC kutangaza haya maovu. Naomba CHADEMA waandae mkakati maalumu kwa ajili ya kufungua TV yao...

We should start preaching to a multitude through mass_media... Tutoke njee ya Tanzania tueleze dunia huu unyama. Ili dunia ijue kuwa Tanzania kuna unyama zaidi aliokuwa anafanya GAddafi
 
Poleni makamanda wetu hizo ndio baadhi ya gharama za kuongoza mapambano ya ukombozi!

Hakika vitisho, nguvu na hata mauaji yanayofanywa na ccm hayatazima moto wa mabadiliko unawaka nchi nzima sasa!! Msife moyo tupo nanyi pamoja wakati huu mgumu! Silikilizia muziki wa hapa Arumeru watakapojaribu kchakachua kura zetu! Huenda usa river ikageuka taharir square na safari ikaanzia hapa kwenda magogoni!!

Vipi kwanza huko arumeru mambo yanaendeleaje?
 
Nyakati zote nasimamia ukweli.

Wakati fulani niliwahi kusema ni lazima CCM ife ili Tanzania ipone, lakini wauaji wa CCM hawajui kama waiue kwa mapanga au kwa kuipa sumu. CCM inawatumia Sungu Sungu kufanya uhalifu kwa wapinzani wao kwenye Ukanda wa Ziwa na hii si mara ya kwanza tukio kama hili kutokea.

CCM ni chama kinachojua kwamba kuendelea kwake kuwepo ni kwa kutumia vitisho hidi ya wale wanaoipinga. Kumbuka maneno ya Kikwete kwa wafanyakazi walipotaka kugoma. Hiki ni zaidi ya chama cha siasa na uharamia wake haukuanza jana wala leo kwani hata wakati Mwalimu alipokuwa hai alitamani CCM isambaratike na kwenye hotuba zake za 1995 utaona Mwalimu alikuwa alishaichoka CCM.

Tusipokubali kikweli kweli (Siyo Kimaslahi) kupambana na CCM huko tuendako wapambanaji wetu watadhuriwa na sisi kuja tena hapa kulalamika. Leo watu mlioko Kirumba hakikisheni CCM inashindwa, Wa Arumeru simameni imara, Wa Lizaboni fanyeni Kweli, Wa Tanga msidanganyike lindeni kura zenu, Mbeya tupeni diwani wa CHADEMA bila hivyo maumivu ya kiwia ni kazi bure.

Wewe leo utafanya nini kuhakikisha CCM inakufa na kupoteza uhalali wa kuendelea kututawala?
 
nadhani imefika wakati uongozi uchukuliwe na taasisi zingine kwani wanasiasa wameshindwa kulipeleka taifa letu kwenye dira sahihi. kwa hari ya sasa taifa linaelekea kwenye umwagaji mkubwa wa damu , nisingependa kushuhudia haya lakini ndio yanaelekea, kama taasisi zingine husika zisipochukua majukumu muhimu ya uongozi wa nchi basi taifa linaelekea kwenye umwagaji mkubwa wa damu.

wameanza mwakyembe, wakafuatia kiwia wakitoka hapo ni zitto na slaa na mboe wakitoka hapo ni jk....wapi tunaenda.
 
Aiseee sitaki kuamini tumefikia huku.This is untorelable and unacceptable!MUNGU aendelee kutoa uponyaji kwa makamanda hawa.
 
Hii imenisikitisha sana, kuona chama cha mapinduzi kimegeuka kuwa genge la maharamia. They are ready to kill just to remain in power. Tunawakabizi wapambanaji mikononi mwa MUNGU, Nguvu ya Mungu ikawashukie wote waliohusika.
 
Nimepokea kwa masikitiko makubwa haya yaliotokea...ni jambo ambalo linatia chagizo kwenye mbegu mbaya ya kuondoa umoja wa taifa letu.Tusaidiane watanzania wote kulaani jambo hili .....viongozi wetu pia mtusaidie kufata sheria za uchaguzi,kampeni za usiku mbona zimeshazuiwa wao usiku wanapita pitaje majumba ya watu.poleni any way na watu wasijichukulie sheria mikononi tafadhali.
 
Wabunge wawili mmoja wa Jimbo la Ilemela na mmoja wa jimbo la Ukerewe wamepigwa mapanga na mawe usiku wa leo
kuamkia asubuhi na hii inatokana viongozi hao walikuwa huko Mwanza wakati wakipita nyumba kwa nyumba wakihamasisha watu wakapige kura kumchagua diwani wao huko CCM Kirumba......lakini ghalfa walivamiwa na watu wasiojulikana na walipigwa mapanga na kuumizwa sana huku mbunge wa Ilemela akiwa hoi bin taabani .......yani ameumizwa sana

... Labda walidhaniwa wezi.... Poleni waathirika.
 
poleni sana ndugu zangu ....... wao c wameanzisha c tutamalizia maana uhuni wao sasa umefika pabaya ......... 2mechoka na 2mewachoka .........."pata chimbika seriously sababu washa2ona ss ni wapumbavu kwa kuwa wapole na wastaarabu"
 
Hii habari isi_iishie Jamii forums tafadhali.

Tutoke nje tuieleze dunia huu unyama. Kuna siku hii sauti ya wanyonge itasikika na dunia nzima wataielewa.
 
Poleni sana Kamanda Zitto, tupo pamoja ktk wakati huu mgumu kwa sala na maombi, Mola awatangulie. Rais Mandela alipata kusema "NO EASY WALK TO FREEDOM, THE FUTURE BELONGS TO THOSE WHO PREPARE FOR IT TODAY." Very sorry !
 
Kudadadeki, CCM Hoyeeeeeeee
(celebrating inhumanity and hooliganism, sadly)
 
Halafu watu wakisema ccm itamfia mkweree mikononi mnasema wachochezi!Amani imetoweka nchi hii!
 
Halafu watu wakisema ccm itamfia mkweree mikononi mnasema wachochezi!Amani imetoweka nchi hii!

Ife kwa sababu gani kwa kuwa wananchi wamewachapa panga leo ahhahahahahahaha na baada ya panga tunawashinda kirumba,tunawashinda songea na tunawashinda arumeru ccccccm shumata!
 
Back
Top Bottom