Recent content by MohabeOTarime

  1. M

    JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejengwa katika mfumo wa kifisadi na kinafiki

    Wapizani wako chini ya himaya ya mafasidi hawana cha kufanya ni kufuata amri tu, ila watashindwa vibaya sana 2020.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    Another silly political gimmick and west of time. If TLS is seriously about justices they should help people who real need advocates services not pretending to help Lady Karume whos family is great beneficially of CCM to mention accusation of Prison Island in Zanzibar, grabbing Anglican Land...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Don't bet against Magufuli, utaliwa...

    Hakuna aliye juu ya sheria. Na hata Lowasa pia atakuwa na siku yake Maalum kukutana na Pilato
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Down the memory

    Medieval Marsibit Kenya, Capitalism at work
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yatia rekodi mpya kwenye ukusanyaji wa kodi na kufikisha KSh1.114 trillion

    Vizuri kanunueni Mahindi watu wasife na njaa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini chama cha CHADEMA hakipendwi na watu wengi siku hizi?

    Wanauwezo mkumbwa wa kutambua siasa na uhuni
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

    Wapiga kura wengi sana hawepo mitandaoni, wale wajumbe wa nyumba kumi na zaidi ya mitandao yenu,
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tukiacha MA DC na MA RC labda na baadhi ya Mawaziri , kuna mwingine anaiunga mkono ccm kwa sasa ?

    Next Budget 2017/2018 huku hizo 34% hazituhusu sana, tuko interest na bei ya mazao iwe nzuri na barabara zitengenezwa baada ya mvua na tayari kuna mitambo tayari site, sisi ni burudani tu. Wale wenye njaa karibuni kuna mahindi na maharage ya kutosha na viazi mviringo vya kutisha mpaka hakuna...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

    Kulalamika bila kutoa njia mbadala naweza kusema ni intellectual laziness, yeye yuko chama tawala anawaza kuleta njia mbadala na sio kusema tu ili asikike kuwa yuko edge.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aunda kamati ya pili kuchunguza madini yaliyopo kwenye mchanga, kuapishwa kesho

    Bado hatutapata majibu nilidhani angetumia forensic accountant to unmask mchakato mzima wa process za malipo na manunuzi ya Acacia ndio dodge zaidi Tanzania
  11. M

    JamiiForums Tanzania Bashe(Mb): Ipo siku watu watatafuta haki yao mtaani!

    Bado ana Mahaba na Lowasa, kwa hakika ni Bashe ni single term MP
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukiacha MA DC na MA RC labda na baadhi ya Mawaziri , kuna mwingine anaiunga mkono ccm kwa sasa ?

    Uko kwenye CDM bubble Urban Elite, beneficially of old dealers, CCM huku rule area kinashamiri, nyie shughulikieni maswala ya Wema Sepatu. CCM huku wanashughulikia maswala ya Wakulima. Mpaka sasa pembejeo za msimu ujao zimeanza kuletwa hata kabla ya msimu haujaanza na hata budget haijapitishwa...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA: Mbunge awasili na helicopter kuzindua kidaraja cha mbao!

    Pesa za kujengea dqaraja 90% zimetumika kukodishia Chopper only in Kenya
  14. M

    JamiiForums Tanzania Dr. Dalaly Kafumu: Kusema ukweli uamuzi wa Rais katika suala la mchanga utaligharimu taifa baadae

    Utalaamu wa Kafumu unaa mashika sana huyu ndiye aliyekuwa Kamishina wa Madini wakati mikataba hii inasainiwaa aseme an maslahi gani kwenye mchanga
Back
Top Bottom