Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,683
WanaJF napenda niwaletee huu Uzi ili tuelimishana vizuri maana Mimi Hilo swali lilinishinda kujibu.
Jana wakati natoka KAHAMA nikielekea Dodoma kwenye basi ilijitokeza hii maada, watu wengi walisema haipendi tena chadema kuliko kipindi kabla ya uchaguzi wa 2015.
Wengi walisema chadema ni chama cha kikabila , wengine wakasema ni chama cha ukazikazini, wengine wakasema ni chama cha ukoo wa Mtei na Mbowe, wengine wakazidisha wakasema ni SACCOS ya watu kupitishia ruzuku, mara wengine wakanena ni chama cha kifisadi kabisa, mwingine akasema hakina demokrasia ya kweli.
SASA, mimi ninaomba mnisaidie nijue ukweli, japo kuna watu wanafanya utafiti kupitia shirika moja nao watatuambia kama kweli chadema hakipendwi na watu wengi hasa wa umri kuanzia miaka 35 hadi 100.