....Real Change begins with People.... Nimeipenda sana hii. Hivi kweli hata kama tunalipa kodi kidogo kiasi gani. Je si haki yetu kuuliza juu ya matumizi yake... Tuwe wazlendo jamani.
Lkini Jamani ccm kwani mkiwasikiliza hao ukawa na kukubali yaliyo yao kwa uchache hamuni kma mtaepusha shari/ Mnakumbuka juu ya maamuzi ya busara ya Ml.Nyerere juu ya vyama vingi baada ya referendum/
Gwajima ni MZIZI.... Hatuwezi kukaa kimywa mambo ya kishetani yanafanywa na mtu anayetuaminisha kuwa yeye ndiye tunayeweza kumsikiliza na akatuongoza. Emezini na mke wa mtu kamtengenezea zengwe ili kupoteza ushahidi.. Mungu wa kweli hata siku moja hawezi kuyafumbia macho mabo hayo.. Emma...
Zinatakiwa Herari 5, kwa ajili ya shughuli za ufugaji wa samaki. ziwe mita tati ya 500 mpata 100 toka mto Ruvu Upande wa Mlandizi kabla ya kufika Mlandizi. Kuwe na uwezekano wa kufikika bila karaha ya njia. Kama zipo niPM
Habari nzuri sana hii. Intertek International Tanzania wako pale kurasini nyma ya chuo cha Diplomasia kuna barabara ya rami inakwenda Uhamiaji kama mita 100 kushoto mkabala na Kanisa la RC wana maabara pale na wamekuja na product moja inaitwa Precision Farming. wanatest Soil kwa dolla $ 7 tu...
Mimi nilikuwa haop, ni kweli dada yetu alianguka, sasa kama ilikuwa ni ngoma au ni kweli ulikuwa mweleka kama ile mieleka ya brother kma kawaida ya kampeni zetu kwa kweli sijui lakini kuanguka alianguka.
Ni kweli Magufuli anaweza kuwa hakutafiti kwa kina juu ya athari za uamuzi wake wa kuondoa hiyo 5% lakini jamani Mnyonge Mnyongeni hakiyake mpeni... Sote twajua juu ya utendaji wa Magufuli, Hajawahi pewa Wizara, isibadilike katika ufanisi. Hajawahi pewa Wizara isiongeze tija katika shghuli...
Jamani,
Mwalimu alifanya kile alichoweza kwa wakati wake na kwa kweli, kama si misingi thabiti aliyoiweka mwalimu leo hii jeuri tuliyo nayo humu ndani ya JF labda kwa baadhi yetu ingekuwa hadithi.
Mimi nafikiri kosa amabalo mwalimu alilifanya ni kuchelewa kuruhusu uwepo wa vyama vingi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.