Eneo linauzwa kibaha kwa mathias

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
678
195
Eneo lnauzwa..lina ukubwa wa
robo 3 accre..
Location.. kibaha kwa mathias
3km frm morogoro road...
Eneo lipo karbu na huduma zte za
kjamii yaan umeme,maji,hospital
na zngne nyingi tu..
Price...Tsh 9.5mil...
Mawasiliano:0767879784.
wote karibuni...
 

Zogwale

JF-Expert Member
Jul 10, 2008
13,159
2,000
Eneo lnauzwa..lina ukubwa wa
robo 3 accre..
Location.. kibaha kwa mathias
3km frm morogoro road...
Eneo lipo karbu na huduma zte za
kjamii yaan umeme,maji,hospital
na zngne nyingi tu..
Price...Tsh 9.5mil...
Mawasiliano:0767879784.
wote karibuni...

Aisee km 3 haitimii eka mil 9.5? Ardhi imekuwa kiini macho. Kwa Mathias napapata. Je eneo liko upande gani wa main road. Jina maarufu kwenye eneo ni nini? panafikika kwa gari?
 

tumlack

JF-Expert Member
Jan 23, 2012
678
195
Aisee km 3 haitimii eka mil 9.5? Ardhi imekuwa kiini macho. Kwa Mathias napapata. Je eneo liko upande gani wa main road. Jina maarufu kwenye eneo ni nini? panafikika kwa gari?

mkuu eneo lipo upande wa kulia kam unatoka dar es salaam..pia jina maarufu la eneo lilipo ni nyumbu..
eneo linafikika na gar vzuri sana barabara ni kubwa mkuu..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom