MACCM ndio wachumia tumbo hawezi kuacha malipo yaTshs.300,000 per dayNani anawaita kwenda bungeni wachumia tumbo hawa waendelee na umbea wao huko mitaani tu.
Hii ikowazi kiongozi,bila rasimu ya wananchi kujadiliwa ni ndoto kuipata katiba waitakayo.Niusaliti kwa waumini wa demokrasia!Hakuana rasimu ya Warioba, hakuna bunge la katiba, ni ubakaji wa mamlaka ya wananchi.
Warioba katuletea uhuni tena uliopitiliza.
Ukawa ndiyo nini?
Na wasirudi kwani wakirudi tena tutawang'onga na kuwatukana tena
Kuijadili Rasimu ya Warioba ni na ikakubalika ndio KIFO cha hao MaCCM, ndio maana wapo tayari kupoteza kila kilicho chetu na chao ili kufanya wayatakauo. Na kwa hakika CCM ikifa itakufa kifo kibaya sannnaaaaa na cha AIBU ambacho hajawahi kufa kiumbe chochote Duniani
unataka kumpa gsu bata?