Recent content by moexaud

  1. moexaud

    JamiiForums Tanzania Mpende, mchukie lakini Zitto anaendelea kuwa mwanasiasa adimu katika Tanzania yetu

    Jamaa sio mtu mzuri inaonekana akikuweka lokapu ukitoka maji unaita mma
  2. moexaud

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane haya mambo ambayo naona tunasahau

    Katiba mpya
  3. moexaud

    JamiiForums Tanzania Mbunge Peter Msigwa wa CHADEMA amsifia Rais Magufuli kwamba anajali vyama vyote

    Alicho kanusha msigwa ni kulishwa manino na ikulu yaani wale waliyo edit mawazo yake
  4. moexaud

    JamiiForums Tanzania Mlinga ampa kazi IGP kuhusu kina Mange

    Kagame yupi? Ni Hutu dikiteta?
  5. moexaud

    JamiiForums Tanzania DODOMA: Mbunge wa Arusha Mjini Mh. Godbless Lema awataka IGP na Mwigulu Nchemba wakauze maandaazi

    Wangeanza name wewe usie jitambua
  6. moexaud

    JamiiForums Tanzania Hali ni mbaya wadau Hebu tuelezane ukweli sasa."Mficha Uchi hazai"

    Kazi ipo khaa! Ngoja nikatafute huenda Leo nikapata japo 2000
  7. moexaud

    JamiiForums Tanzania Namna ya kuokoa nyumba isiuzwe kwa kushindwa kulipa mkopo

    Safi sana barikiwa
  8. moexaud

    JamiiForums Tanzania Mapinga, Bagamoyo: Rais Magufuli azindua kituo cha mafunzo maalum ya kijeshi

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  9. moexaud

    JamiiForums Tanzania M/kiti ya UVCCM adai wasimpochagua Mtulia wasahau kuletewa maendeleo na serikali maana hawatahudumia upinzani

    Itafika kipindi tutawaambia wakawadai kodi hao wanao wapelekea maendeleo
  10. moexaud

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri: Nimejikuta nimeoa mke aliyepitiwa na wengi

    Ukitaka mwanamke mkamilifu asiyedati na mwanaume Fanya hivi chukua udongo finyangaki kwa umbo na uzuri unaoutaka kisha pulizia pumzi yako uone kama ni kitu rahisi ....wenzio wanaowa makahaba na swari tu sembuse huyo
  11. moexaud

    JamiiForums Tanzania Majibu ya hoja, kwanini CHADEMA inashiriki Uchaguzi baada ya kususa?

    Kitendo cha tume ya uchaguzi kuonya hao wakurugenzi ni suluhisho moja wapo la majibu ya hoja za kususia uchaguzi kwa chadema Ukiwa na akili sawa sawa utajua sio kila chakula unasusia vingine havisusiwi Na kwa Serikali hii ukisuburi irekebishe mambo yote yawe sawa ni sawa nakungoja shetani awe...
  12. moexaud

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Dah! Mwananyamala hadi korido unapagishiwa ulale
  13. moexaud

    JamiiForums Tanzania Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Lisemwalo lipo kama halipo laja Ukiona neno litafakari usiwe mpingaji
  14. moexaud

    JamiiForums Tanzania Yanayompata Lowassa liwe ni funzo kwa wanaompongeza Rais Magufuli

    Ndio mwisho wa akili yako ...haya subiri uteuzi
Back
Top Bottom